Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Kuhama vodacom haiwezekeni...mpesa ndio inaaminika kuliko kina tigo...4G iko fresh...kwanini tuhame?..wapunguze bei hatutaki kukimbia tatizo
 
Sasa kama iko kwa top ten ndo isisikilize amri toka juu?
Sister kwa kweli hata mimi nimeshangazwa na Vodacom nilidhani jeuri ni kwa mamlaka za chini kumbe hata juu. Sipo katika sekta ya Telecommunications lakini taarifa zinaeleza Vodacom wanasikilizwa sana sababu ni manguli wa ulipaji kodi.
 
Mkuu Mimi nimeshapost thread nyingi za hii kadhia ya vifurushi na kuuliza swali hilo hilo kwamba inakuwaje serikali inaongea na hatuoni utekelezaji? Mpaka nikasema kiboko yao alikuwa yule kichaa msukuma neno moja tu kila kitu kinakaa sawa wee Enzi ya makufuli tungehamishiwa TTCl wote na hawa wasiosikia serikali inasemaje wakapigwa ban huyu Ndugulile angebaki na ubunge tu...kila MTU ana ubaya wake ila kuna mambo tutamiss mzee sana kwakweli eti umwambie liko kwenye mchakato sijui nn anakupa jb moja tu...mchakato ukaufanye kitandani na mke wako tupishe unademotiwa faster halikuwa jambo zuri lkn kwakweli lilifanya kazi ikawa faster na kuheshimu kazi.....We will miss you mzee.

TUTA MMISS MZEE WETU.! CHUMA
 
Back
Top Bottom