Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Nawashukuru halotel. Mega bando ilikuwa na iko Kama ifuatavyo.

Kabla ya ujinga wa Ndungu , Tshs 1000 unapata GB 1 na dkk (10 halotel).

Wakati wa utekelezaji wa ujinha wa bwana Ndungu, Tshs 1000 unapata MB 420

Baada ya kusitisha ujinga, Tshs 1000 unapata MB 1024 (1 GB) na dkk (100 halotel).
 
Holotel wamerudisha kwa kishindo mega bundle 1000tsh Mb 1024 sawa na GB 1.2 kwa weeek na dakika 100.
1024MB = 1GB
i.e. 1GB = 2^10
Baadhi ya mitandao wanaiba kwa kuweka 1000MB badala ya 1024MB.
 
Tigo pia wanajifanya wajanja sana, kwenye vifurushi nimeachananalo halina maana.
 
Habari Wakuu, Naona kuna Mitandao ya Simu hadi sasa ni kama wamekaidi Amri ya Serikali Kuhusu Vifurushi. Hivi Serikali nayo ndio imeamua Kuwafumbia macho?

Mfano wa Mitandao hiyo ni Vodacom,Tigo...Je Serikali Imeshindwa Kuwafatilia?
Karibu yote imekaidi na DH wa TCRS anaangalia ti
 
Mbonà mnakuwa wakaidi hivyo. TCRA mnashindwa Nini kuwawajibisha? Au mnapata mgao wenu ndiyo maana mnakuwa na bigugumizi kuchukua hatua?

Rais Sasa hilo wa kulimaliza ni wewe
 
Mi naona vibaki hivi hivi tu. Nyuzi za kimiyeyusho zimepungua, sasa hivi ukirefresh ni Samia hivi Samia vile.

Zamani unarefresh unakuta uzi wa swali 'Mke wangu hajarudi nyumbani nifanyeje?'
 
Mi naona vibaki hivi hivi tu. Nyuzi za kimiyeyusho zimepungua, sasa hivi ukirefresh ni Samia hivi Samia vile.

Zamani unarefresh unakuta uzi wa swali 'Mke wangu hajarudi nyumbani nifanyeje?'
tumia akili kidogo
 
Mtandao unaotoa night bando au bando za usiku zile ni upi kwa sasa mana halotel voda tgo airtel amna sjajua ttcl kama ipo ni sajili chapu nashindwa kupakua muv
 
Mtandao unaotoa night bando au bando za usiku zile ni upi kwa sasa mana halotel voda tgo airtel amna sjajua ttcl kama ipo ni sajili chapu nashindwa kupakua muv
Mkuu sijaelewa hiyo Avatar yako inataka tuchukue muda wetu kutazama movie au hiyo picha
 
Back
Top Bottom