Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Huyo inaonekana ni kati ya wale wa vitu kwanza au kodi kwanza.
Sifurahii chief , vitu vingine unauliza Kwanza kabla ya kulalamika , kuna menu za vifurushi sa hv ukijarbu kujiunga unaambiwa ipo kwenye marekebisho , imagine menu zote ziwe deactivated Kwa ajili ya marekebisho na uhitaji wa huduma unahtajika every second.

Serikali iliruhusu vifurushi tunavyoviona sasa na ghafla Tamko la kusitisha , ina chukua masaa mkuu na hata sku ...sio issue ya kuzima na kuwasha kama taa
 
Bahati mbaya sana kuna watu hawatishwi na matamko jukwaani au kwenye media.

Serikali inajua cha kufanya na wasijizungushe, unless ofcourse yale ni matamko ya kisiasa tu.
 
Njmekuelewa kiongozi.
 
Hawa wanazidi kutuibia tu,jana nilishaanza kuaga makundi yangu ya whatsap kuwa sitakuwanao mtandaoni hadi nipandishwe daraja na kuongezwa mshahara.

Bila hivyo sitaweza,nikafarijiwa na tangazo la serikali cha ajabu nimeamka nikadaka simu napiga menu ya tigo naona hakuna kilichobadilika,hapa namalizia ka bando changu cha tarehe 30 March then simu nitaitumia kama tochi na radio na nitapokea simu zinazoingia tu, nimeshatoa taarifa kwa ndg zangu kukwepa lawama
 
Watanzania tuna shida sana.....

Bundles zilikuwa bei rahisi / tofauti kulingana na ushindani kwahio kila mtandao ulitoa offer kama ilivyoona inafaa...

Serikali ikaja na bei zake elekezi kwamba mb kadhaa ziwe/ zisizidi kiasi kadhaa..., Mitandao mfano Halotel iliyokuwa na offer chini ya hapo ikapiga chini hizo offer ikafuata maelekezo na kupitia mule kwenye bei elekezi....

TCRA / Serikali kama kawaida yake ya kukurupuka ikaja na tamko lake kwamba bei mpya za Data zisitumike kwanza until further notice..., Je swali ni kwamba unawalazimisha hawa wadau waendelee kutoa offer hata kama hawaoni kama inafaa....

Watanzania tuanze kuelekeza lawama zetu panapohusika (don't shoot the messenger)
 
Ndio umeongea nini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…