MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kampuni za Simu hazifanyii kazi Maagizo ya Mtandaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ctrl + ZBado sana. IT wapo kazini kuchange vifurushi sio fasta kiasi hicho hii ni programming
chadema huyu ni mwanachama wenu?Wanazo software za kuchange vifurushi, ni dakika moja tu kubadili rate, haina ufundi wowote
Serikali / TCRA na Ndugulile wao walijifanya wanajali wanyonge na ili waonekane wanafanya kazi sana wakaja na masharti / bei elekezi kwamba kuanzia April lazima mitandao ifuate masharti hayo..., na sio kufuata tu bali hata tabia ya kubadilisha badilisha waiache..., na sio kwenye Bundle tu hata kwenye voice calls waliwapangia..., na hapa bado wanavuta pumzi ili na whatsapp call waipige pini (eti inapunguza mapato)Kwa nn wakati huu?? Hembu nijibu kwa logic
Kwanini tusiwekeze kwenye Ttcl yetu bhanaa tuiudumie kupitia budget yaetu ya serikali tutimue ma kampun yote haya kichef chef
Matamko tu hamna kitu malaika wa mwendazake ndio ameshashuka kufunga mitandao ya kijamiiiPropaganda za serikali ya Samia hakuna kitu hapo
Lazima wapewe barua rasimi na hapo ndipo ucheleweshaji unaweza kutokea
Naamini waliagizwa kwa maandishi na maamuzi yoyote ya kutengua maagizo ya awali lazima pia yawe ya maandishi.
.
Wanapanga nini tena wakati walikuwa navyo, si warudishe tu vya zamani. Au ndio haturudi tena vile vifurushi vya zamani?kuna mtu nliongea nae jana ana kitengo kikubwa tigo alisema itachukua mda angalau wiki wapange vifurushi upya tena
Yashaanza kutekelezaMpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Kampuni gani hii nikachukue lineYashaanza kutekelezaView attachment 1742000
Wanapanga nini tena wakati walikuwa navyo, si warudishe tu vya zamani. Au ndio haturudi tena vile vifurushi vya zamani?
Eti wameendelea kuwaibia wananchi.... KWANI ALIYESABABISHA HUKO UNAKOITA KUIBIA WANANCHI NI NANI? WAO KABLA YA HUO UNAOUITA WIZI, WALIKUWA WANATOZA KIASI GANI? Serikali yetu, katika hili imekurupuka... MAKAMPUNI YA SIMU HUWA YANAHITAJI MUDA KUWEZA KUREKEBISHA PROGRAMS ZAO... Yaani TAMOKO limetoka jana, leo hii menu zote ziwe tayari...!!!!! Siyo kama kusaini cheki kiongozi...!! Hivi serikali imetoa bei elekezi kwa hayo mabadiriko?Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Hahahahah Zantel ila kumbuka kauli ya mkuu hiiiKampuni gani hii nikachukue line
Huyu huyu aliyesema ANATAMANI MALAIKA WASHUKE WAJE WAZIME MITANDAO YOTE YA KIJAMII?Namkumbuka anko Magu kwa kweli