Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
😂 😂 😂 😂Ctrl + Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂Ctrl + Z
Mb1 Tsh 1 siyo ishu, maana sh 500 tungepata MB500, sh 1000 karibu GB1, sh3000 GB3.Makampuni yamefuata agizo la Waziri Ndugulile kuwa Mb1 iwe tshs 1. Najua alikalishwa chini na kushauriwa kuwepo na ongezeko la bando na akalitekeleza.
Huu mtego amenasa na utamgharimu maisha yake yote ya kisiasa.
Nimelisema wazi hili ili wanasiasa wetu wajifunze kuwa siyo kika ushauri ni wa kukurupukia wanapaswa wajitafakari kabla ya maamuzi yeyote
Itachukua muda kwakuwa inabidi ufanye programming upya..Baada ya tamko la serikali kushusha bei za vifurushi, tupeane mrejesho wa utekelezaji.
Huku Halotel bado hawarudisha kama ilivyokuwa zamani, vipi huko uliko?
MSIMAMO UKO HIVIBaada ya tamko la serikali kushusha bei za vifurushi, tupeane mrejesho wa utekelezaji.
Huku Halotel bado hawarudisha kama ilivyokuwa zamani, vipi huko uliko?
Yashaanza kutekelezaView attachment 1742000
Duh, hili tatizo la serikali kutaka kuwepo kwenye kila biashara za watu ndio kumetufikisha hapa, kama vya zamani havirudi kuna kila haja ya kuwatumbua wakurugenzi wa TCRA na waziri wake.probability ya kurudi vya zamani ni 0.0001% kutokana na yale mazungumzo, kuna uwezekano wamepewa oda watengeneza vipya ambavyo ni juu kidogo ya vya zamani
Mb1 Tsh 1 siyo ishu, maana sh 500 tungepata MB500, sh 1000 karibu GB1, sh3000 GB3.
Lakini viwango vya sasa, sh 500 unapata MB200, sh 2000 MB 900, sh3000 GB1.3
Kama alitoa maagizo ya Mb1 sh 1 ina maana makampuni ya simu haya jafuata.
Mi naona waziri na viongozi wa TCRA waachie ngazi. Kazi imewashinda.
Tunakazia hapa hapaUongo mtupu huuu
Fyoko !! Sikatai ni programming lkn sio kubwa ni issue ya dakika tu kueditHzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Pengine atakuwa kashapata cheo cha kuongoza malaika.Mkulungwa ana roho mbaya sanaa,yaan tayar keshajadili na malkia kuja kufanya yake kabla hata mwez hujaisha jmn?
Mkuu usilete uongo usiokwenda shule? Hivyo vifurushi si ni algorithim tu unabadili kama.vile vinavyobadilikaga ghafla wakipandishaga au? Ni fasta sana kama wanavyobadilishaga tuuBado sana. IT wapo kazini kuchange vifurushi sio fasta kiasi hicho hii ni programming
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Z
Nina shaka sana HWENDA KUNA HUJUMA AMA NIA OVU DHIDI YA RAIS WETU SSH Kwanini haya ya Mitandao, Maji na Tanesco yaandamane... nawaza tu kuwa kuna kidudumtu...Lazima wapewe barua rasimi na hapo ndipo ucheleweshaji unaweza kutokea
Naamini waliagizwa kwa maandishi na maamuzi yoyote ya kutengua maagizo ya awali lazima pia yawe ya maandishi.
.
View attachment 1741964
SWALI NI KWA NINI TCRA WALIKUBALIANA MAKAMPUNI YA SIMU KUIDHINISHA BEI ZA AJABU AJABU [emoji3480]
OMBI LANGU BODI YA TCRA IVUNJWE NA MENEJIMENTI KUPIGWA CHINI MARA MOJA.
Hakuna fisiemu awezae jiuzulu kwa hiyari... ilikuwa zamani...Mwezi huu Ndugulile asipewe mshahara.
Kama Kuna chochote alichofanya tangu ateuliwe naomba nijulishwe.
Infact angekua mstaarabu angejiuzulu kabla ya kufukuzwa.
Ameshindwa kazi.....asaidiwe......