Mtoa huduma hawajibiki kwako,wala wewe huwajibiki kwake
Hesabu zake za faida au hasara ni zake,wewe mpe counter offer yako,akikubali biashara ifanyike,hutaki chapa lapa
Hesabu zake za 1000/= kwa GB ni hesabu za kipindi hicho na zilijenga faida kwa kipindi hicho,sasa hivi yeye raw materials zake zimepata,na mengine anayoona yeye
Ana haki ya kupandisha bei atakavyo bila kukutaarifu,wewe ni haki yako kuzima simu na kwenda kulima au hamia mtandao mwingine
Hii tabia ya mteja kujifanya yeye ni Mungu anapanga bei na kununua atakavyo yeye,ni usenge wa hali ya juu
Wacha market forces zi-determine yote hayo,na kuna power of FREE CHOICE
Mnataka kuua haya makampuni kwa kupenda vya bure wehu nyie na wanasiasa wenu na vyombo vyenu kama TCRA mlivyojiwekea kuwateteeni maslahi yenu binafsi nyie wenyewe bila kujua kua pia haya makampuni ni watu na hawana mtetezi
Majambazi wakubwa sababu tu ni "wananchi" na miwanasiasa yenu yenye vichwa vibovu mazulumati na maserikali yenu maharamia yenye kuvamia mali za watu na kunyang'anya ili mpewe nyie bure
Mkafie huko,kila mtu ajitegemee,na tabia ya wizi na kupenda bure na kupewa mali zisizo zenu muache