No one is here in this planet eti sababu anakupenda na yupo kukuhudumia wewe kwa sense unayojisemea
Makampuni na every individual yupo hapa duniani kujijengea mali kwa kutoa huduma kwa wenzake na sio eti "anawapenda",no
Voda,Tigo,etc hawako hapa TZ kuwapata huduma kama charity,never
That will never be sustainable maana nani analipia miundombinu kuhakikisha mnapata huduma?Ni nyie wateja na yeye apate huduma
Hizi hesabu zikiharibiwa haya makampuni yote hayatakua sustainable for long,yatakufa naturally
Kila kampuni na kila mwanadamu yupo hapa Tanzania kwa ajili yake binafsi
Hakuna aliyepo hata kwa ajili ya mwenzake
Kila mtu anatoa huduma au kununua huduma au bidhaa kwa ajili yake binafsi na hakuna msaada mahali popote
Makampuni yana huduma na bidhaa wananchi wanazozitaka,hivyo transaction lazima itokee
Hakuna aliepo hapa eti kwa ajili ya mtu yeyote
Bei elekezi ni very stupid way of politicians kuvamia na kuamua ni bei gani kwa ajili ya vitu gani huku hawana knowledge wala uelewa wowote wa kujenga hizo huduma
Let competition solve these nonsenses
Serikali kazi yake ni kuhakikisha no crime is done by anyone wether to collude,stealing,lying,manipulation,misrepresentation of facts,etc
Sasa serikali inaacha kazi ngumu ya kuchunguza these facts and ku-prosecute these crimes,yenyewe inageuka jambazi wa kuibia watu mali zao kwa faida za wananchi wapenda bure
Tunajenga jamii ya ajabu sana,isiyojali power of free choice,free markets,personal freedoms,haki za kujipatia mali,uhuru wa biashara,etc
Hii nchi inatakiwa kua na principle ya anybody can be anything he or she wants within the laws tulizokubaliana
Sio mtu unafanyakazi au biashara huku unatetemeka kusubiri lini wananchi na mawanasiasa yao yatapanda kichaa vichwani mwao kuja kuchukua mali ulizojenga for free....Nchi ya ajabu sana mamaeee