Nani kakwambia serikali imepandisha bei?
Bei imepandishwa na mitando ya simu kufidia gharama na faida yao
Wananchi wapenda bure wakaanza kulia,serikali imezuia hizo bei kama kawaida yao ya kuingilia biashara za watu?
Nimerudia rudia nini?
Nikirudia rudia kitu....soma kimoja,vilivyorudiwa usisome
Zinaumiza hao wananchi na halafu wakiumia gharama za kuendesha hao watoa huduma zitoke kwa nani?
Zitoke mbinguni au unadhani hela zinaota kwenye miti?
Wewe ni mwananchi,unaona umeumizwa kutokana na upeo wako na hali yako na maslahi yako wewe mwananchi,mtoa huduma hajaafikiana na wewe,unamlalamikia nani sasa?
Wewe unalia shida na mtoa huduma analia shida the same way,kwavile wewe una serikali na wanasiasa mavichaa,unayafungulia yaje kumuonea mtoa huduma ili upate huduma kwa bei yako wewe unayofikiria kwenye ubongo wako
Halafu mitambo ya mtoa huduma ihudumiwe kwa pesa gani iwapo hela unayotoa haitoshi?