Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Na wewe si umeita watu "uchuro",ndio unachoweza!

Wewe ulikua monkey,mimi nikawa gorilla kabisa...

Wanadamu bwana,yeye hana kosa,wengine ndio tuna makosa..
Chief haya mambo ya jana yabaki jana. Kwa nilipo leo ni siku nyingine nahitaji maswala mengine.
 
serikali hii haina nguvu..... ni hivyo tuu.. angekua Maguguli pangesha chimbika
 
Hata jibu lako linaonesha you know nothing about programming........kutoka Bei chee had kuja Bei ghali ilipangwa kwa siku kadhaa ,hvo turning point is not much simple , emplementation needs time broh.....you know nothing about programming....hii kitu sio mkate at utakanda na kuoka
Nilichomaanisha ndiyo hicho kwamba sijui kitu kuhusu programming
Lakini mbona hujatufahamisha chochote zaidi ya kutu crash as if wote tunaijua hiyo progr....
 
serikali hii haina nguvu..... ni hivyo tuu.. angekua Maguguli pangesha chimbika
Huyo uliyemtaja si ndiyo aliyetuachia hili tatizo au!!?? Umesahau tamko lilitolewa enzi za utawala wake!
 
Wadau habar za pasaka
Juz nilisikia tamko la serikali kupitia tcra kua wameagiza kampuni za cm kushusha gharama ziludi km mwanzo tangu watoa agizo hilo sijaona mtandao wowote uliotekeleza agizo hilo naomba kuuliza je serikali wana tu actia ama vp.

Kwanza kampuni za cm hawawez kupandiasha gharama bila ya kua wamekaa meza moja na tcra na serikali, lakini hii kauli ya serikali ni kama hawajui nini kiketokea pia.

Inakuaje jambo km hili linaamuliwa na mtu mmoja waziri pekee. Kwanini wasipeleke muswada bungeni upitishwe maana kwa sasa mtandao pamoja na technology ni km part ya maisha kwa kila mmoja kwa ajili ya kuendesha shughuli zake.

Je, serikali kutoa agizo la kushusha vi fulush si wana tu actia kwa sababu walijua ni nin wanakwenda kufanya. Kumpa mamlaka yote kiongoz kuamua jambo kwa ajili ya wa tz wote sio sawa kbsa ni afadhal hiki kipengele kwenye katiba kingelekebishwa tuwe km USA
Bunge na mahakama ndio ziwe fainal say
 
Hii arrogance unaitoa wapi ndugu?

Hupendi bei ya mtu na bidhaa zake eti unamfukuza nchi wakati ni raia kama wewe?

Mzima kweli wewe?

Kipindi kile faida ilikuwepo sasa hivi gharama za uendeshaji zimepanda au unadhani gharama za uendeshaji zinabaki hivyo hivyo?

Mitambo sasa kuiendesha gharama zake zimepanda,bei ile ile haifai,inatakiwa ipande kuakisi OPEX na CAPEX bila hivyo hii mitambo itazima na hizo bando zenyewe hamtakaa mpate moja kwa moja sasa

Wewe unakomaa bei ya zamani ibaki,hizo gharama za uendeshaji nani ajazie?Mavi?

Hutaki huduma zima simu sio lazima utumie bando

Acheni usenge basi
We **** kweli ungekua karibu ningekupasua mbwa ww unatakuna humu unadhani nakuogopa shoga ww?? Kama biashara ya mama ako mwambie atafute cha kufanya sio kuumiza wananchi shoga mkubwa ww na usirudie ku comment ninachoandika
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Kubadili tarrifs kwenye systems za IN wala sio kitu cha muda mrefu...

Ni suala tu la kupopulate script kwenye systems husika (PCRF etc) na kurun...the effect will take place thereafter

Kitu pekee ninachodhani kimekwamisha labda ni uwepo wa long weekend au makampuni yanasubiri taarifa rasmi kupitia barua toka TCRA
 
Back
Top Bottom