Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Technology imekua Kiongozi, matumizi ya Artificial Intelligence (AI). Ni automatically inafanyika hiyo, hakuna anayepost huko. Trending news zinakuwa feeded huko kwa AI.
Trending stories zinakuwa automatically added?, swala la vifurushi recently limekua mega issue na limecatch trend sanq lakin huu uzi hauna replies hata over 50. AI gani inafukunyua na kupick uzi wenye replies chache namna hii?
 
Kwa mfano keyword kwenye trending news inaweza ni TCRA, kwa hiyo taarifa yoyote yenye hiyo keyword inakuwa picked. Iko namna hiyo
 
Kwa mfano keyword kwenye trending news inaweza ni TCRA, kwa hiyo taarifa yoyote yenye hiyo keyword inakuwa picked. Iko namna hiyo
Yawezekana, sorry huu uzi una replies 300+. It's worthy it! [emoji120]
 
Ndugulile ameteuliwa na Magufuli, top TCRA yote imewekwa na utawala wa kimagufuli magufuli
Yaaani hawa voda mpk saiv hawajarudishwa,ndio maana hii nchi inabidi iendeshwe kimagufuli magufuli ndio itaenda. La sivyo watazidi kucheka cheka tu.
 
Tutamkumbuka. Unafikiri ingekuwa ni ule wakati JEMBE wangethubutu hata kuongeza bei za vifurushi? La, hasha, wasingethubutu hata kidogo.
Mwenye shamba amelala usingizi wa milele, nyani wanarudi shambani kwa Speed ya 5G. TUTAMKUMBUKA.
Hata kama wameongeza gharama za vifurushi, angetoa kauli moja tu, ndani ya saa chache wangekuwa wametekeleza.
 
Msimamo wa Magufuli(RIP) kuhusu matumizi ya mtandao unajulikana Hakuipenda mitandao.Alishawahi kutamka anatamani malaika washuke wazime mtandao.Hata wakati wa uchaguzi mtandao ulizimwa Ili watu wasijadili wala wasifuatilie uchaguzi kwenye mitandao.Watu wote wapate taarifa ambazo ni centralized.

Hata hii hatua ya mabadiliko ya bei ya vifurushi ni kitu ambacho alikianzisha yeye kutokana na mwenendo wake au matamshi yake kuhusu mitandao.Plan ilikuwa ni kupandisha bei Ili kupunguza matumizi ya mtandao kwa watanzania.Lengo ni muendelezo wa kupunguza ukosoaji ambao tayari alifanikiwa kwenye redio,tv na magazeti.Vyombo vyote vikawa vinaimba mapambio ya kusifu utawala wake.

Kwahiyo kinyume na unavyosema kuwa angekuwepo isingetokea hii hali,angejitokeza akazie zaidi.Angetuambia kama gharama ni kubwa tuche kutumia mtandao,Kwani ni lazima?Angetunanga kama alivyotunanga wakati wa tetemeko Bukoba,au kuhusu chakula cha Msaada wa serikali,au majibu kama yale aliyopewa Mr Trump alipolalamikia kuchajiwa sh 500 kujisaidia kwenye vyoo vya tanroad!

Mawaziri na hata hao tcra wasingerudi nyuma kwenye Hizi bei.Wangejitokeza tena kwa confidence ya hatari na kutusema raia tuache kulialia,tuchape kazi!!Kwahiyo imetokea tu hitimisho limekuja wakati yeye hayupo na ule 'umagufuli' inaonekana sio njia bora tena ya kutatua matatizo kwa kiongozi wa sasa(kwa kadri anavyoonekana hadi sasa),lakini ni mpango wake na mchakato ulianza kwenye serikali yake yeye na aliridhia.
 
Hii arrogance unaitoa wapi ndugu?

Hupendi bei ya mtu na bidhaa zake eti unamfukuza nchi wakati ni raia kama wewe?

Mzima kweli wewe?

Kipindi kile faida ilikuwepo sasa hivi gharama za uendeshaji zimepanda au unadhani gharama za uendeshaji zinabaki hivyo hivyo?

Mitambo sasa kuiendesha gharama zake zimepanda,bei ile ile haifai,inatakiwa ipande kuakisi OPEX na CAPEX bila hivyo hii mitambo itazima na hizo bando zenyewe hamtakaa mpate moja kwa moja sasa

Wewe unakomaa bei ya zamani ibaki,hizo gharama za uendeshaji nani ajazie?Mavi?

Hutaki huduma zima simu sio lazima utumie bando

Acheni usenge basi

Ina maana hizo gharama zimepanda kwa tanzania tuu sio
 
Kama wachangia humu bado mpo,huko twitter,fb na instagram mpo tena kwa wingi tu.

Maana ake tunamudu haya maumivu.
 
Mwanamageuzi alisha aga dunia .lakn kuna Mdhaifu mmoja anaamini yeye ndio kapandisha vifurushi, huu ushirikina. Mwache malaika mkuu achape kazi huko mbinguni
 
Hapa tusilaumiane bure kosa ni la TCRA maana ndiyo walizitaka kampuni kufanya mabadiliko ya vifurushi hivyo, hapa serikali inabeba lawama, japo TCRA wametoa tamko kama linavyoonekana hapa chini
Screenshot_20210405-132807.jpg
 
Back
Top Bottom