Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Naona halotel wamekaza....nchi hii ujinga mwingi sana.
Wamentumia hii msg


Mpendwa mteja, kuanzia 06/04/2021 kutakua na mabadiliko kwenye huduma zitazopatikana kwenye laini yako. Endelea kufurahia kwa kupiga *148*55#. Asante.
 
Wamentumia hii msg


Mpendwa mteja, kuanzia 06/04/2021 kutakua na mabadiliko kwenye huduma zitazopatikana kwenye laini yako. Endelea kufurahia kwa kupiga *148*55#. Asante.
Mimi sijaupata huo ujumbe, ngoja nichungulie hiyo menyu nione kuna nini...
 
Nyie mnaosema sijui ni programming mara oh haiwezi kuwa fasta fasta wote ni waongo na mnatetea ujinga uliofanywa na (wizara+watoa huduma)

Kama ni hivyo mbona Zantel walirudisha kila kitu kama zamani siku moja mara tu baada ya tamko!?
 
Makampuni yamefuata agizo la Waziri Ndugulile kuwa Mb1 iwe tshs 1. Najua alikalishwa chini na kushauriwa kuwepo na ongezeko la bando na akalitekeleza.

Huu mtego amenasa na utamgharimu maisha yake yote ya kisiasa.

Nimelisema wazi hili ili wanasiasa wetu wajifunze kuwa siyo kika ushauri ni wa kukurupukia wanapaswa wajitafakari kabla ya maamuzi yeyote
Hayo yalikuwa ni maelekezo ya meko. Yeye alitamani watu washindwe hata kupiga simu achana na kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Yule baba alikuwa na roho ya kishetani sana ndio maana Mungu akaona awape watu wake unafuu.
 
Tigo mbona wamegoma kubadilisha kurudi kwenye ghalama za awali.
 
Ngoja tuone ukakamavu wa DG mpya wa TCRA Dr. Bakari

We need bold leaders within Gov. Institutions
 
Ukiona haya makampuni yanadhatau agizo la serikali ujue Kuna mtu mhusika sana pale wizarani na tcra amewekwa mfukoni na haya makampuni. Yaani alishakula hela ya haya kampuni Sasa anaona Soni kuyakemea.

TISS hebu chunguzeni akaunti sa Ndugulile
 
tigo rudisheni bei zenu mbona hamsikii amri ya rais.
 

Attachments

  • IMG_4028.JPG
    IMG_4028.JPG
    136.6 KB · Views: 1
Hama mtandao tu, hawa tigo ni wapuuzi sana
 
Back
Top Bottom