Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Hili lilipangwa iwe ni silaha kunyamazisha kabisa jamii
Kumbuka tulizimiwa mitandao wakati wa uchaguzi na Mara kadhaa muheshimiwa sana alikuwa anarudia rudia kuonyesha alichukia sana mitandao ya jamii
The odds are against us now , ndo maana hata tamko la kusitisha bei kandamizi limetoka
Tamko lisilokuwa na nguvu halina maana bora angenyamaza tu.
 
Naiunga mkono hoja yako, the market force iamue...

Ila lugha yako uliyotumia kuwasilisha hoja haijakaa vizuri, imeharibu kila kitu; Maneno "ni usenge wa hali ya juu...", " "wapumbavu....", "wajinga....", hayakuwa na sababu kutumika ktk kutoa ujumbe wako..

Mimi nakujali na kukupenda sana ndiyo maana nimekuambia. Wengine hawatakuambia bali watakuwa wanasonya na kukutukana tu wakikusoma..

Asante..
Ni kweli wastarabu kama nyie mpo!
 
Hawa wanazidi kutuibia tu,jana nilishaanza kuaga makundi yangu ya whatsap kuwa sitakuwanao mtandaoni hadi nipandishwe daraja na kuongezwa mshahara,bila hivyo sitaweza,nikafarijiwa na tangazo la serikali cha ajabu nimeamka nikadaka simu napiga menu ya tigo naona hakuna kilichobadilika,hapa namalizia ka bando changu cha tarehe 30 March then simu nitaitumia kama tochi na radio na nitapokea simu zinazoingia tu,nimeshatoa taarifa kwa ndg zangu kukwepa lawama
Mkuu usiwe mnyonge kiasi hicho
 
Vilikuwa juu sana kulinganisha wa wapi?..au kulinganisha na kipato chetu?

No zile bei zilikuwa fair bana..wabongo tuache hizo..mfano Ttcl mtu alikuwa anapata 1.2 GB kwa 1k tsh kwa siku tano,,hii ni ghali?
Mkuu, sihitaji kulinganisha na mahali pengine ingawa hata tungeenda huko takwimu rasmi zipo zinazoonyesha gharama zetu zilikuwa juu.

Mimi nimejikita kwenye gharama za maisha za Mtanzania na matumizi ya sasa ya kila siku ya data ambayo tumezoea.

Inabidi bei zizingatie kuwa siku hizi Watanzania wengi wanapata taarifa zao nyingi, ikiwemo kwa njia ya videos, kupitia mitandao. 1.5 GB ni ndogo sana hata kwa matumizi ya kawaida ya kufuata habari. Kwa maana hiyo watu wengi wanalazimika kununua vifurushi vipya kabla ya vile vya awali kuisha muda wake (hii ina maana kiwango cha vifurushi hakitoshelezi mahitajo yetu).

Mtazamo wangu, kwa wastani vifurushi vya data vingekuwa kama 2500/= kwa 10 GB na 5,000/= kwa Unlimited. Bado faida ingekuwepo na serikali ingepata kodi yake. Tatizo lililopo ni tamaa tu ya serikali.
 
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.

Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.

Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.

Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Mi nadhani huyu waziri angejiuzulu tu maana huwezi kupewa mamlaka na ukachezewa na makampuni kiasi hiki otherwise aseme anafaidikaje na dharau hizi za makampuni ya simu na upandishaji huu wa vifurushi na kwann anakosa meno mbele ya kampuni hizi...naamini nje ya chama kuna watanzania makini sana na ambao ni wazalendo na ambao hawawezi kuchezewa hata sekunde na kampuni yyte..Wito: Rais alishasema...Kama Waziri umeshindwa sema USAIDIWE.
 
Lakini bei zimekuwa zikishuka baada ya kupanda hadi huyu waziri alipoleta huu ujinga wake wa bei elekezi. Binafsi natumia halotel, kwa 1000 nilikuwa napata dk 50 mitandao yote kwa wiki, na5000 napata gb 7 kwa wiki. Kwangu hayo ni matumizi ya wiki nzima na sijawahi kupata bei rahisi kama hizo kabla.
Na hata wangesema wapandishe kwa sababu za gharama za uendeshaji basi pia isingefika huku ambako tumefika leo.
cha msingi tuendelee kuibana serikali iki kilichotokea leo iwe mwisho
 
Mkuu, sihitaji kulinganisha na mahali pengine ingawa hata tungeenda huko takwimu rasmi zipo zinazoonyesha gharama zetu zilikuwa juu.

Mimi nimejikita kwenye gharama za maisha za Mtanzania na matumizi ya sasa ya kila siku ya data ambayo tumezoea.

Inabidi bei zizingatie kuwa siku hizi Watanzania wengi wanapata taarifa zao nyingi, ikiwemo kwa njia ya videos, kupitia mitandao. 1.5 GB ni ndogo sana hata kwa matumizi ya kawaida ya kufuata habari. Kwa maana hiyo watu wengi wanalazimika kununua vifurushi vipya kabla ya vile vya awali kuisha muda wake (hii ina maana kiwango cha vifurushi hakitoshelezi mahitajo yetu).

Mtazamo wangu, kwa wastani vifurushi vya data vingekuwa kama 2500/= kwa 10 GB na 5,000/= kwa Unlimited. Bado faida ingekuwepo na serikali ingepata kodi yake. Tatizo lililopo ni tamaa tu ya serikali.
Wewe unajua bei wanayonunulia internet haya makampuni hadi uanze kuwapangia?..

Trust me,bei zilikuwa poa tu..
 
Kwamba ku switch from low to high tarrifs iliwezekama overnight lakini kurudi kwenye low tarrifs ndo mnaleta excuses , how slow our programmers are? au bado mnatumia pentium one ku process data?

IT experts mnaleta local excuses kama vile wauza mafuta wanavyo bahatisha ewura wakishusha bei elekezi.

Africa bana !!! Unaweza kudhani unaongea na meneja wa big gambling casino , kumbe unaongea na expert.

You think hiyo rollout ilifanyika overnight? You are dead wrong. Rollout kama hiyo ilipangwa na kuratibiwa kwa muda mrefu tu. Ujue changes kwenye live networks zinafata internal change processes sio vitu vya kuswitch on and off tu unavyofikira. Kuna change management process and approvals,,teams alignment to support the change,,rollback solutions/plans etc..and these kind of changes normally takes place during low maintenance window ambayo ni usiku after 12.00 AM. Tatizo la TCRA notice yao hawakuweka timeline. Walitakiwa wawe wameshawasiliana na Operators na kualign kuhusu rollback timeline and by that wangeweza kuinform kwenye ile notice new bundles plan rollback itakuwa effective lini. Wangefanya hivyo tusingekuwa tunadiscuss hii kitu. So blame TCRA on this!!
 
Lazima wapewe barua rasmi na hapo ndipo ucheleweshaji unaweza kutokea

Naamini waliagizwa kwa maandishi na maamuzi yoyote ya kutengua maagizo ya awali lazima pia yawe ya maandishi.
.
hayo maandishi yana kurasa milioni ngapi kuyaandika!
 
Wewe unajua bei wanayonunulia internet haya makampuni hadi uanze kuwapangia?..

Trust me,bei zilikuwa poa tu..
Kwani hiyo internet wananunulia wapi ambako sisi tatupajui? Unafanya kama hii biashara na hizi taarifa ni za siri sana. Hivi unajua, serikali ingeamua kuifanya Tanzania kuwa na gharama za chini sana za internet, ni jambo lililo ndani ya uwezo wao kwa kuweka kodi na sera rafiki?

Mchawi hapa ni serikali tu. Kuna uzi niliwahi kuleta hapa nikielezea jinsi tulivyoingia katika mfumo wa Kifashisti. Hizi ni moja ya dalili zake.

Wamekodolea tu kodi za miamala na vifurushi, wanasahau soko kubwa la uchumi wa kidigitali wanalolikandamiza.
 
Haya ndio Kiongozi wa Malaika alikuwa anakuja kuyatekeleza? Ila jamani kama tulikuwa waadhiniwa sijui
 
Statistical ukandaa huu wa Africa mashariki Tz ndo tuna vifurushi nafuu vya data, dk na sms.
Lakini kama kawaida yetu wabongo hatujawahi ridhika.

Serikali ìkachukua oportunity kujipatia umaarufu wa kisisasa as usual. Sas tujiulize lini serikali iliingilia kitu kikabaki salama (waliamia kwenye korosho tunajuabkilichotokea)
Kama serikali iliona bundle zipo juu wangepunguza kwenye kampuni yao ya TTCL na sio kuingilia kampuni binasfi come on we are on free market economy acha soko liamue, bei elekezi haijawahi kufanya kazi dhidi ya magiant haya.
Shame on you FCC shame on you TCRA.
Watanzania mkamuamini kabisa ndugulile na tcra yake!!??
Poor you
Khari
Hakuna hujuma yoyote afanye kazi
Una "usoda au ubia" na hao wahujumu mkuu?
 
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.

Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.

Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.

Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Hata 40 haijafika tushaanza kuona pengo lake, nchi hii ngumu kweli!!
 
Tangia serikali iagize kurejeshwa kwa bei za awali kwa vifurushi vya simu ni takribani masaa zaidi ya 20 yamepita.
Sio kampuni ya serikali, TTCL wala kampuni binafsi (Tigo, Voda, Airtel na Halotel waliotekeleza agizo hilo.
Kijiswali cha kuchomekea tu, hivi Baba angeagiza hivyo, Kuna kampuni ingekaidi hadi muda huu?, Hiiiiiiii Baghosha!.
Tuwe watii kwa maagizo ya serikali sio kuangalia mtoa tamko
 
Yaaani hawa voda mpk saiv hawajarudishwa,ndio maana hii nchi inabidi iendeshwe kimagufuli magufuli ndio itaenda. La sivyo watazidi kucheka cheka tu.
 
Back
Top Bottom