Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Wahuni tu hao kila siku wanaingiza mabilioni tamaa zimewajaa hata hawa wakina nduguyule wanatamani 10% suluhisho jepesi ni kupandisha bei walivyo vihiyo wamesahau wajibu wao kwa umma ambao ndio waajiri wao
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Anafikiri ni mambo ya bandika bandua kama mikeka ya Kanjibai..
 
Mchakato wa kuandaa menu mpya ya bundle unachukua sio chini ya siku kadhaa, tuvumiliane,tukiharakishana tutaharibu zaidi🤣
 
Wanazo software za kuchange vifurushi, ni dakika moja tu kubadili rate, haina ufundi wowote
Kwaio software zikisha change vifurushi tu basi vina reflect na kwa wateja immediately?

Tuache siasa kwenye mambo ya technology yanatumia akili sio mihemko tu wakuu..
 
TCRA waangalieni Airtel wamewakazia hawataki kurudisha vifirushi vya awali.
Watakuambia mchakato utachukua miezi 3, ni kama bank tuu kuchukua pesa wako fasta, ila kuirudisha ni mlolongo mrefu.
 
Wenye mitandao yao salamu zangu ziwafikie..Akii wameniweza .
 
Makampuni yamefuata agizo la Waziri Ndugulile kuwa Mb1 iwe tshs 1. Najua alikalishwa chini na kushauriwa kuwepo na ongezeko la bando na akalitekeleza.

Huu mtego amenasa na utamgharimu maisha yake yote ya kisiasa.

Nimelisema wazi hili ili wanasiasa wetu wajifunze kuwa siyo kika ushauri ni wa kukurupukia wanapaswa wajitafakari kabla ya maamuzi yeyote
Huyu mzee alipotoshwa alidanganywa au aliwekwa hapa ili aje kutumbuliwa , Daktari anaenda kuwa fundi software what a joke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio software zikisha change vifurushi tu basi vina reflect na kwa wateja immediately?

Tuache siasa kwenye mambo ya technology yanatumia akili sio mihemko tu wakuu..

Kigumu ni administrative decision kutoa uamuzi kuwapa watu wa IT go ahead wabadili rates kwenye system. Ugumu haupo kwenye upande wa Technical, maana kila kitu ni computerized
 
Utamuharibia kazi mwenzako na wataanza kuogopa kuwapa wabongo nafasi za juu maana watajua wanavujisha mambo kama haya kirahisi tu kwa lugha ya kiswahili😂😂😂

haikua siri, infact ilikua ni bei elekezi ya serikali sio maamuzi yao binafsi
 
Duh, hili tatizo la serikali kutaka kuwepo kwenye kila biashara za watu ndio kumetufikisha hapa, kama vya zamani havirudi kuna kila haja ya kuwatumbua wakurugenzi wa TCRA na waziri wake.

lakini pia unapasua ujue bei za vifurushi haviwezi kaa constant miaka yote kuna mda lazima vipande ni kama biashara zingine ingawa sio kwa bei elekezi ila kuendana na mfumuko wa bei pia
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Kwamba ku switch from low to high tarrifs iliwezekama overnight lakini kurudi kwenye low tarrifs ndo mnaleta excuses , how slow our programmers are? au bado mnatumia pentium one ku process data?

IT experts mnaleta local excuses kama vile wauza mafuta wanavyo bahatisha ewura wakishusha bei elekezi.

Africa bana !!! Unaweza kudhani unaongea na meneja wa big gambling casino , kumbe unaongea na expert.
 
Mkuu pitia pitia na mawazo ya wadau wengine bas kwenye huu uzi , mbna Wana wameliweka hili Sawa .....!!!!
 
Back
Top Bottom