Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Uko vizuri, keep it up
 
Habari ya humu ndani wakuu, kwa wale wapenzi wa flight simulation, game mpya iitwayo X-PLANE 11 imetoka hivyo waweza kucheki kwenye website ya steam bei ni $60. Labda inaweza kuwa mbadala wa FSX.
 
Mkuu, hapo kwa Upande wa bus speed yake vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…