sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Yeah mi nmeshaitumia sana mario ofcoz ndo map mod yangu ya kwanza enzi hizo.. Shida ya saiz ni hivyo tu inavyochukua mda mrefu afu sjui kwa nini kuna baadhi ya sehem ukienda kuchukua mzigo game inacrash.. So nikaona niendelee na tsm tu ukizingatia nayo ina africa map ambayo mi ndo burudan kwangu..Mario inaload mwanzo ila ukisha anza safar haina shida...kwakua nmeipenda bas ile tym ina load huwa naisubir tu..
Tsm nafkir kuishusha kesho