HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Habari wadau wa Euro Truck simulator.
poa niaje aisee, uzi umepoa sanaHabari wadau wa Euro Truck simulator.
Aisee kweli Bwana, Ila nilikuwa na wazo, je hatuwezi tukaanzisha group la Ets2 multiplayer Tanzania?poa niaje aisee, uzi umepoa sana
Good idea, lakini most wanaochez ets2, wanatumi cracked non legacy editions, so hamna ability ya kwenda onlineAisee kweli Bwana, Ila nilikuwa na wazo, je hatuwezi tukaanzisha group la Ets2 multiplayer Tanzania?
mi nnayo ambayo ina mods za african road(north africa- Egpty ,morocco,libya) tayari ...bonge la game and very nice kwa kutuliza mind..my favourite!
si jamaa katuleta. huku ndio ile ETS ya zamani mpaka ukalipie KEY au ukanunue Game dukaniBwana Ukwaju uko na huku
zamani Migari ilikuwepo km hili mende lina mpaka kwenye teller Hondulandi isingeanguka kweny wayaMbona version ya zaman sana?