Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Nyingine hiyo la ki Russia.. 560hp
b9a82ad4acc6b4dacf93aeca1a689c3c.jpg
 
Mkuu nimependa mods zenye kampuni za Tanzania, kama hutajali naomba uzi-share kama ni dropbox or whatever, kisha utusaidie link kwa atakayependa aweze kuzitumia. gallen
 
Kweli aisee mtu aliyetengeneza kampuni za tanzania atupe nasisi tuweke hizo logo kwetu ikiwezekana hata kwny email atutumie
 
Mimi nataka tricks ya kupata pesa nyingi kwenye euro truck stimulator vision ya 1.5.2.1s
 
Jamani humu ndani mnatumia gearbox gani kwenye ets2? Me natumia 18speed gearbox Eaton Fuller shifter layout.
 
Back
Top Bottom