dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Naomba ya 1.26
Ntakiwekea soon
mkuu nimesearch kwnye the pirate bay nimepata hizi result hizi..mi nakumbuka kama nilidownload hiyo deluxe edition ila enzi hizo ilikuwa kwenye kick ass amabyo ishafungiwa saiz..so chagua hapo then tumia magnetic link udownload:Mkuu nahitaji la ndege lkn iwe ya offline. Kuna mmoja nimedownload flight simulator nilichokutana nacho ni balaa.
Kuextract linaomba password, ili kupata password wanataka ni kasurvey kweny blogsite yao ili nipate key. Sijui kunua kitu au kusurvey tu.
Nipe link ya flight lkn iwe offline ambao ni cracked na torrent
thank in advance
Juzi nimeanza kucheza version ya 26 latest + Viva Le France mod na nimeanza profile mpya kabisa, profile ya zamani nilifika level ya 89.. saiz ndo nipo level ya 5..
hii nikiendesha kitu Kamaz...nazipenda hizi gari hasa ukiwa unapiga manual drive.
Shukran mkuumkuu nimesearch kwnye the pirate bay nimepata hizi result hizi..mi nakumbuka kama nilidownload hiyo deluxe edition ila enzi hizo ilikuwa kwenye kick ass amabyo ishafungiwa saiz..so chagua hapo then tumia magnetic link udownload:
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site
Zipo torrents nyingi tu.. Nenda the pirate bay search humo zimejaa..Nipe link nidownload hii version mpya
Nimetafuta sijaona hii version anyway usijaliZipo torrents nyingi tu.. Nenda the pirate bay search humo zimejaa..
Hii nilicheza ila kuna baadh ya route gar haikua na speed..
Juzi nimeanza kucheza version ya 26 latest + Viva Le France mod na nimeanza profile mpya kabisa, profile ya zamani nilifika level ya 89.. saiz ndo nipo level ya 5..
hii nikiendesha kitu Kamaz...nazipenda hizi gari hasa ukiwa unapiga manual drive.
Yeah ni mrusi.. Kuna truck mods kama tatu za urusi zote zipo fresh sana.. Map Mod ni ya TSM ver 6.5 hapo ni northen africa maeneo ya tunisia huko...Kamaz mrusi huyoo..hiyo map ni wap
Inapga kaz kweny version ganYeah ni mrusi.. Kuna truck mods kama tatu za urusi zote zipo fresh sana.. Map Mod ni ya TSM ver 6.5 hapo ni northen africa maeneo ya tunisia huko...
Ver 1.26.2s yenye viva le france dlc..Inapga kaz kweny version gan
Ver 1.26.2s yenye viva le france dlc..Inapga kaz kweny version gan
yah ni kwasababu ya barafuHii nilicheza ila kuna baadh ya route gar haikua na speed..
NimeipataVer 1.26.2s yenye viva le france dlc..
Ver 1.26.2s yenye viva le france dlc..![]()