kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Euro truck ipo juuNAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
Euro truck ipo juuNAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
funguka juu kivipi bob maana american imetoka mwaka huu ,unataka kuzishindanisha kwamba ipi kali au iliyotoka mapemaNAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
Yah nataka kuzishindanisha ipi kalifunguka juu kivipi bob maana american imetoka mwaka huu ,unataka kuzishindanisha kwamba ipi kali au iliyotoka mapema
kwa experience yangu american ni kal asee, japo haina mods nying kama ets2 , kwa graphics ats wameiboost japo gameplay ileileYah nataka kuzishindanisha ipi kali
unaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kaliHiyo nayo game !!! au upuuzi watu tumecheza game za hitman
Mm kila siku uwa nawaambia watu kutumia AKILI zio mambo ya top ten hiyo siyo game kwani ukiambiwa mwanamke mzuri kupita wote duniani ni furani nikweli mbona mingi mibovu sana mimi siyo limbukeni .kwanza MTU akisema hitman alipo 50 bora sishangai bilashaka hata kulicheza aliwezi ndiyo sababu achana na magemu uchwara weweunaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kali
Kama vp nikupe siri ya kutambua magemu mazuri ni siri kubwa sana inaweza hata kupindua serikari[emoji452] [emoji452]unaongea vitu gani mkuu , hii ni 2nd best game ya simulation nyuma ya flight simulataor,, hitman kwenye category yake sidhan hata ipo kwenye top 50 ya game kali
dah mkuu hii lugha gani asee , sijaelewa kitu kabisaMm kila siku uwa nawaambia watu kutumia AKILI zio mambo ya top ten hiyo siyo game kwani ukiambiwa mwanamke mzuri kupita wote duniani ni furani nikweli mbona mingi mibovu sana mimi siyo limbukeni .kwanza MTU akisema hitman alipo 50 bora sishangai bilashaka hata kulicheza aliwezi ndiyo sababu achana na magemu uchwara wewe
umetisha sana kamanda
NAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
mkuu nimedownload hili ila limezingua kila nikijaribu kuinstall linagoma shida nn au kuna mahala nakoseayeah...kwa sasa natumia 1.21...hiyo ya zamani niliitumia mda kidogo...
No...huwa narusha zote...za long flights (Mfano sasaiv na fly kutoka dubai kwenda Shanghai ni kama 8.40 Hrs) na Emirate A380..mara moja moja ndo huwa nafanya ruti fupi kwa general aviation aircrafts...mf nikitua dar naweza nikapiga route labda ya dar zanz au arusha au popote nitakapopenda kwa kutumia ndege ndogo..napendelea zaid caravan kwa route fupi na A380 na pmdg 777 au 747 kwa route ndefu..ukicheck hapa utaona route nyingi nilizowahi fanya online..: Worldwide Virtual
![]()
![]()
![]()
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?
Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
naipenda ETS2 kwa kua iko versatile sana na ina mods nyingi mno..imagine na drive globetrotter fx12 yenye V8 3900HP engine...8x4 chassis ..ikichanganya speed inafika mpaka 350kph ......kikubwa zaidi naipenda kwakua hai crash na cheat engine..ATS uki apply cheat engine na game ndo limeishia apoNAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
version gani hio ya ats inacrash kwa cheat engine mbona mi nadunda tunaipenda ETS2 kwa kua iko versatile sana na ina mods nyingi mno..imagine na drive globetrotter fx12 yenye V8 3900HP engine...8x4 chassis ..ikichanganya speed inafika mpaka 350kph ......kikubwa zaidi naipenda kwakua hai crash na cheat engine..ATS uki apply cheat engine na game ndo limeishia apo