Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Kumbe kuna hadi american truck? Nlikua cjafaham ngoja nkalipakueee
 
Nina lori zaid ya 80 na a/c yangu bank inasoma zaidu ya $25m,hili game noma sn
 
No...huwa narusha zote...za long flights (Mfano sasaiv na fly kutoka dubai kwenda Shanghai ni kama 8.40 Hrs) na Emirate A380..mara moja moja ndo huwa nafanya ruti fupi kwa general aviation aircrafts...mf nikitua dar naweza nikapiga route labda ya dar zanz au arusha au popote nitakapopenda kwa kutumia ndege ndogo..napendelea zaid caravan kwa route fupi na A380 na pmdg 777 au 747 kwa route ndefu..ukicheck hapa utaona route nyingi nilizowahi fanya online..: Worldwide Virtual

attachment.php


attachment.php


attachment.php

Game gani hii?!
 
Brother machoz yamenitoka yaaani wewe haukutakiwa uzaliwe bongo ilitakiwa uzaliwe mbele maana najua bongo hautareach your full potential and it suckz

Keep inovatin bruh youll get there
Usijali kuna vitu vukubwa sana vinakuja. Hapa hapaTz mambo yatakuwa mazuri tu. Nashukuru kwa kunitia moyo ndugu yangu.
 
Mkuu hakuna offline? Hii kitu nataman sana kuicheza.
Km ipo nipe link mkuu
Ipo mkuu.. Kikawaida ni offline ila ukitaka ndo unaconnect online.. Unaweza kudownload flightgear ni free kabisa au Microsoft flight simulator yenye crack kwenye torrents zimejaa nyingi tu..
 
Ipo mkuu.. Kikawaida ni offline ila ukitaka ndo unaconnect online.. Unaweza kudownload flightgear ni free kabisa au Microsoft flight simulator yenye crack kwenye torrents zimejaa nyingi tu..
Sawa mkuu nitaicheki. Nipe link mkuu ambayo ni craked torrent.
 
Mi nataka ya mabasi msaada mwenye link au jinsi ya kuipata
Inategemea unataka ya aina gani... Hata hii ya euro truck simulator ina mabasi (unaweka kama mods) ila zipo simulator maalum za mabasi bus driver simulator kama unahitaji.. Zote zipo za free na craked ukitafuta online utapata nyingi tu
 
Ntakiwekea soon
Mkuu nahitaji la ndege lkn iwe ya offline. Kuna mmoja nimedownload flight simulator nilichokutana nacho ni balaa.
Kuextract linaomba password, ili kupata password wanataka ni kasurvey kweny blogsite yao ili nipate key. Sijui kunua kitu au kusurvey tu.
Nipe link ya flight lkn iwe offline ambao ni cracked na torrent
thank in advance
 
Nawezaje kuupload miziki kutoja kwenye laptop iweze kupigabkwenye game eurotruckbsimulator2
Copy miziki unayotaka halaf nenda kwny documents tafuta folder la eurotrack ingia utakuta ndani yake kuna folder la music...paste nyimbo zako humo ukiingia kwny game washa radio yako unakula mziki fresh
 
Back
Top Bottom