Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

fe785df638010daed41325f09a068554.jpg
0e4a14719d24c9b0d754a091079289d2.jpg
 
Juzi nimeanza kucheza version ya 26 latest + Viva Le France mod na nimeanza profile mpya kabisa, profile ya zamani nilifika level ya 89.. saiz ndo nipo level ya 5..

hii nikiendesha kitu Kamaz...nazipenda hizi gari hasa ukiwa unapiga manual drive.

Kamazi hiyo ina horsepower(hp) ngapi?
 
Hili gemu kwenye computer nying linazingua.
I don knw y?
 
Hiyo volvo na benzi zina hp ngapi? Naomba link mkuu.
Hizo zinategemea na upgrade ila zinafika mpaka 680hp.. Zote zipo kwenye site za kudownload mods... Kuna ets2 mods au modland.net ukienda huko utazikuta...
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii


Wanangu ndio wanaicheza hio game muda huu. Nimeahangaa sana Tanzania ipo na wao pia wameona ajabu mpaka wameniletea laptop nione. Je ni maendeleo au tuiwekeje?
 
Back
Top Bottom