Mi nna 12 speed LSHIFT AT2812DRJamani humu ndani mnatumia gearbox gani kwenye ets2? Me natumia 18speed gearbox Eaton Fuller shifter layout.
Jamani humu ndani mnatumia gearbox gani kwenye ets2? Me natumia 18speed gearbox Eaton Fuller shifter layout.
Gari gan unatumia?...mm natumia scania highline topline hp 730
Natumia volvo tu ya mule mule sjachek model...sema nikaifungia 1000hpGari gan unatumia?...mm natumia scania highline topline hp 730
Hiyo ndio volvo ya juu kbs itakuwa globletrotter...wacha nijaribu volvo nayo nioneNatumia volvo tu ya mule mule sjachek model...sema nikaifungia 1000hp
Hii 1000hp ni mod mkuu...volvo nlinunua ikiwa na 300 na kitu horsepower nikaweka mod ya 1000hp gar inakwenda mpaka speed had 500 hukoHiyo ndio volvo ya juu kbs itakuwa globletrotter...wacha nijaribu volvo nayo nione
Nipe hizo mod nizisake usiku huu huuHii 1000hp ni mod mkuu...volvo nlinunua ikiwa na 300 na kitu horsepower nikaweka mod ya 1000hp gar inakwenda mpaka speed had 500 huko
Jaribu hyo mod nawah kufka safar zangu skuiz.
Version gani unatumia?Nipe hizo mod nizisake usiku huu huu
1.26.2.4Version gani unatumia?
Engine tuning bonus v2.1 (1000hp, 1500hp, 2000hp) « ETS 2 mods1.26.2.4
Xp na money hacks nmeshajua kea cheat engineEngine tuning bonus v2.1 (1000hp, 1500hp, 2000hp) « ETS 2 mods
Na hii chini ni mod ya mkwanja
XP Money Mod « ETS 2 mods
Bas anza na horsepower hyoXp na money hacks nmeshajua kea cheat engine
Hii kitu hatari...tatizo tank la mafuta la scania dogo engine hii hatariBas anza na horsepower hyo
Mzigo unafika salama?Hii kitu hatari...tatizo tank la mafuta la scania dogo engine hii hatari
Mod hii nmeikubali sana kama zipo mod nyingine naomba
chukua volvo globetrotter fh12 kuna mods za chassis yakeHii kitu hatari...tatizo tank la mafuta la scania dogo engine hii hatari
Mod hii nmeikubali sana kama zipo mod nyingine naomba
Unafika vzr sibebi mzigo wa safari ndefu snMzigo unafika salama?
Ngoja nijaribu kutumia globetrotter though mm napenda sana scania ila madereva wangu wote nmewanunulia volvo.chukua volvo globetrotter fh12 kuna mods za chassis yake
ya 10 by 4 na mid lifts za kutosha diesel tank yake ni 1600litres
Ok, mimi napenda nifikishe mzigo ukiwa 100%.Unafika vzr sibebi mzigo wa safari ndefu sn