HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Jama nimefanya installation ya mod ya KAMAZ ninaipata kwenye kampuni gani kwenye ETS2?
haha noma sana..upate walau gtx630+ unacheza kwa ultra high setting usipimehii game ilitakaga sababisha nipate ziro 4m4 sababu nilikuwa sina hamu na shule nawaza SAA 8:20 itafika saa ngap watu wakale mm nitoroke shule nikalicheze alafu kulala ndo saa 7usiku mzazi ananiona nashika madaftari kumbe akishala mm ndo game mpk nasinzia
Hiyo ndo maana ya Mod....ni modifications.. So ukiweka mods lazima itakupa hiyo msg.. Cha msingi ni wewe kujiridhisha kuwa zinafanya kazi vizuri..Mkuu nimefanya kama maelekezo yalivyo ila ime niandikia THE GAME CONTAINS AUTHORISED MODIFICATIONS. No support is available for modified game.
Kamaz ipo kwenye Volvo truck dealersJama nimefanya installation ya mod ya KAMAZ ninaipata kwenye kampuni gani kwenye ETS2?
Najaribu kucheki silioni ila mod ipo active.Kamaz ipo kwenye Volvo truck dealers
hahahahaaaaayani hizo discussion zenu tu zinanifarahisha utadhani nyie kweli ni wamiliki wa magali makubwa.
itabidi nifanye mpango na Mimi nijalibu kulicheza hili gemu. vip nitalipata wapi embu nijulisheni, na system requirements.
haina tofauti na volvo yangu globetrotter fh12 tank 1600litres iko na 10 x 4 chassis, ila naona yako babkubwa zaidi katika tank...itafutie mod ya 10,000HP engine ijiongeze vizuri barabarani![]()
![]()
![]()
Hili ndio scania nalotumia nmejaribu volvo nmeona handlin yake sio nzuri km scania streamline topline
Nmepata mega mod ya scania ina chassis na tank kubwa sasa hivi nafurahia long trip mafuta kibao
Sasa hapo mkuu upate mario map ndio utalifaid..!mana kweny Mario unapiga intercontinental trip...leo asubuh nmetoka morroco to USA basi unakatiza nchi za kutosha,utavuka bahar za kutosha na pia utapanda ndege za kutosha ww na mzigo wako....![]()
![]()
![]()
Hili ndio scania nalotumia nmejaribu volvo nmeona handlin yake sio nzuri km scania streamline topline
Nmepata mega mod ya scania ina chassis na tank kubwa sasa hivi nafurahia long trip mafuta kibao
Umeniambia mario map mpk niweke viva ndio inakubali?Sasa hapo mkuu upate mario map ndio utalifaid..!mana kweny Mario unapiga intercontinental trip...leo asubuh nmetoka morroco to USA basi unakatiza nchi za kutosha,utavuka bahar za kutosha na pia utapanda ndege za kutosha ww na mzigo wako....
Yaah mkuu...so far unatakiwa uwe na viva sindo update ya sasaUmeniambia mario map mpk niweke viva ndio inakubali?
Ngoja nidownload viva tu hamna ujanjaYaah mkuu...so far unatakiwa uwe na viva sindo update ya sasa
Ila pia kuna mario map za version zilizopita
View attachment 474476View attachment 474478View attachment 474479
Karibu mkuuNgoja nidownload viva tu hamna ujanja
ukipata hizo serial na mie nisaidiemsaada wa serial keys za v 1.26.2.4
Tsm mod ndio ipi?!Shida ya mario map inaload mda mrefu balaa.. Mwanzo nilidhani ni mashine yangu tu ila nimeona wengi online wanalalamika same thing hasa kwa sie wenye ma mods kibao manake mi nna mods kama 30+ hivi na zote natumia.. Nimeipenda tsm mod yenyewe ndo ipo compatible na mods nyingine nyingi..
Mario inaload mwanzo ila ukisha anza safar haina shida...kwakua nmeipenda bas ile tym ina load huwa naisubir tu..Shida ya mario map inaload mda mrefu balaa.. Mwanzo nilidhani ni mashine yangu tu ila nimeona wengi online wanalalamika same thing hasa kwa sie wenye ma mods kibao manake mi nna mods kama 30+ hivi na zote natumia.. Nimeipenda tsm mod yenyewe ndo ipo compatible na mods nyingine nyingi..