Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Kuna vitu vinaitwa mods mkuu,ni file unazidownload then unaziweka ktk game lako kutokana na version ya game kulingana na mode inaweza cheza ktk version ipi. Jinsi ya kuinstal mods unaweza angalia hapa na kuzipata hizo mods za mabasi ingia hapa na uhakikishe mod unayoidownload inaweza kucheza ktk version ya game lako Bus | ETS2 Mods Car / Bus | ETS 2 Mods Buses kila lakheri

sooo buss naendesha kabisa or n yale ya barabarani tuu like nakuwa napishana nayo tuu
 
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?

Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
hujanifikia nna garage 14 magar 32 naendesha benz linanipa raha kwa kwel
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?
 
Hivi naweza pata wapi mchezo wa "CALL OF DUTY" kuanzia ya 2,au 3 hata 4?!

Au kama kuna mchezo mwingine wowote wa kijeshi ambao una silaha za kisasa na zana za kutosha........
 
Hivi naweza pata wapi mchezo wa "CALL OF DUTY" kuanzia ya 2,au 3 hata 4?!

Au kama kuna mchezo mwingine wowote wa kijeshi ambao una silaha za kisasa na zana za kutosha........
Call of duty zmejaa online tu.. Ingia Oceanofgames.com au Ovagames.com utapata... Au kama upo kibaha karibu mimi nina call of Duty zote..
 
nimecheza sana euro truck simulator 2 PC ikazingua nikaanza upya nikaamua nihack xp na hela xo saiv byee
 
Call of duty zmejaa online tu.. Ingia Oceanofgames.com au Ovagames.com utapata... Au kama upo kibaha karibu mimi nina call of Duty zote..
Ni pm namba yako mkali nikucheki
 
binafsi nlishalisahau ili game , nakazana na american truck simulator
 
Hivi naweza pata wapi mchezo wa "CALL OF DUTY" kuanzia ya 2,au 3 hata 4?!

Au kama kuna mchezo mwingine wowote wa kijeshi ambao una silaha za kisasa na zana za kutosha........

Nenda torrent katika sites za Torrent files kama kickasstop.com
 
NAOMBENI MNIJUZE EURO TRUCK SIMULATOR NA AMERICAN TRUCK SIMULATOR LIPI JUU....????
 
Back
Top Bottom