Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii

 
wakuu nisaidieni namna ya kuinstall game kwenye pc. kila ninapojaribu nashindwa
 
Ukitak kuactivate hilo game unafanyeje..maana langu linaishia trailler tu afu linaniambia activate ili nienjoy
Fungua website ya pirates bay then search for ets2 v1.22.2 them download. Kama hauna uttorent app download kwanza hiyo. Then ndiyo udownload kutoka pirates bay.
 
Kuna vitu vinaitwa mods mkuu,ni file unazidownload then unaziweka ktk game lako kutokana na version ya game kulingana na mode inaweza cheza ktk version ipi. Jinsi ya kuinstal mods unaweza angalia hapa na kuzipata hizo mods za mabasi ingia hapa na uhakikishe mod unayoidownload inaweza kucheza ktk version ya game lako Bus | ETS2 Mods Car / Bus | ETS 2 Mods Buses kila lakheri

:Hivi iyo ya malori freetrial inacheza kwa time limit dakk 60 au ni moja kwa moja mkuu"
 
Back
Top Bottom