Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Kuondoa speed limiter manake unaondoa speed governor kwenye gari, ili likimbie kadiri unavyotaka.

Fine ya speed ni ukivuka speed limit ya barabara, especially sehemu zenye speed camera kwa ets2 au kama kuna gari la polisi linapita karibu kwa American Truck Simulator.

Speed limit huwa inaonyeshwa pale kwenye GPS, pia kuna vibao barabarani though kwa American Truck Simulator sivionagi.
Sometime unakuta gps inakuonyesha speed hadi 80 Ila kibao kinasema 50 dadeki ni mwendo wa fine tuuu...
That's why mie nimacha routes za GB napiga routes za nchi zenye right hand driving na Volvo langu linatembea balaaaa....
 
Sometime unakuta gps inakuonyesha speed hadi 80 Ila kibao kinasema 50 dadeki ni mwendo wa fine tuuu...
That's why mie nimacha routes za GB napiga routes za nchi zenye right hand driving na Volvo langu linatembea balaaaa....

Kwenye American Truck Simulator fines ni hatari, unaweza kujikuta jobs zote unafanya kwa hasara. Huku ni mwendo wa kuendesha kwa makini na kuchungulia kama kuna polisi. Yani ukiskia king'ora tu ujue umeliwa, kakushika kwa offence. Kwahiyo kwenye speed limits natumia Cruise Control ambayo inakuwa kama autopilot inamaintain speed ya gari, mimi kazi yangu ni kusteer tu.
 
Hii game sikuwai kuicheza, nmeipakua imenivutia tatzo limekuja wakat nadrive gari ikapinduka nmeshindwa kuiinua na game imebak hapohapo. Na kuna wakat nikiwa na drive inadisplay sms kwamba gari inatakaiwa service, sijui jinsi ya kuifanyia service au inakuja sms engne malfunction nayo sijui jnsi ya kuiweka sawa engine. Msaada naomben ili niendelee kuenjoy gam
Wewe bado learner wa gari, hapo unaita service centre wanakuja kukuchukua. But you pay for that.
 
Nimepiga sana kazi scandinavia kule hamna camera nying kama UK..
 
naombeni msaada jinsi ya ku update Euro truck simulator2, game yangu ni 1.1.1
Weka kifurushi cha GB zisizopungua 2.5 halafu dowload utorrent. Ukimaliza kudownload fungua page ya piratebay then search for ets2 v1.22.2 the click to download. Then extract zip file using winrar au software nyingine yeyote. Then fanya installation. Then You you'll be ok.
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii


outstanding
 
Habari ya leo wakuu, napenda kuwajulisha kuwa nimfanikiwa kutengeneza mouse steering wheel pamoja na pedals za accelerator na brake. Bado naendelea kutengeneza Hshifter na clutch. Nitarusha video jinsi ya kutengeneza usukani na pedal stay tuned.
 
Back
Top Bottom