- Thread starter
- #41
mi natumia toshiba satelite RAM 2GB, HD 500 GB na processor 2.13GHtzUnatumia mashine gani mkuu? Naomba specs.
mi natumia toshiba satelite RAM 2GB, HD 500 GB na processor 2.13GHtzUnatumia mashine gani mkuu? Naomba specs.
Yeah inawezekana sio kazi sana sema inatake time ngoja tuanza taratibu baada ya muda tuna weza tukawa na kitu hata miji mitano tu ya kuanzia.Poa kama vipi tuanze mchakato basi hata kama haitakuwa na uhalisia sana. Me siwezi kutengeneza ila nina interest ya kutaka kujua kutengeneza. Rough road si inawezekana kutengeneza?
rough roads inasemekana zipo ktk map ya korea(mimi bado cjajaribu kuitumia) so ww tafuta hiyo mod ya korea map uijaribu.
ngoja tujaribu ya kwetu mkuuMap ya South Korea ina rough road lakini tatizo sio realistic kabisa yani.
mi natumia toshiba satelite RAM 2GB, HD 500 GB na processor 2.13GHtz
check hii attachment nimeweka mods na hayo makampuni ya kibogo bt ya mabasi ina MBs nyingi kidogo ntaiweka soon. NOTE. mods hizi zinafanya kazi ktk version ya 1.7 na kuendelea so make sure game yako ina hiyo version or zaidi
yeah itakubaliSasa hivi natumia v1.21.1 zitafanya kazi?
kwani unashida yoyote ktk kucheza hilo game mkuu?Ok, nilifikiri unatumia desktop nilitaka nikuulize Graphics Card. me natumia desktop
HP COMPAQ MINITOWER ELITE 8200
Processor Intel core i5 2400 3.1 Ghz, RAM 4GB DDR3 1333Mhz, Hard Disk 500 7200 rpm, Graphics card Nvidia geforce Gt 630 2GB Ram DDR3, Monitor 32 inch HDTV, Controller Logitech 3D Joystick.
kwani unashida yoyote ktk kucheza hilo game mkuu?
Basi nifundisheni na mie kucheza hizo game
Interesting Idea.plus tungekuwa Na street names za Tz
aha ok mkuuHakuna shida saana ila napata 30fps mijini, settings graphics card zikiwa high. Nina mpango wa kupata graphics card kubwa kidogo lakini ya bajeti. Nazungumzia gtx 750 ti.
Sio nzuri sana kama Euro truck simulator mkuu. Nakushauri chukua Euro truck Simulator 2 version 1.21.1
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendeleaTatizo la Euro truck simulator malori yake hayana speed kuna mzgo unaitwa Scania simulator ni hatare mzee
Hii game sikuwai kuicheza, nmeipakua imenivutia tatzo limekuja wakat nadrive gari ikapinduka nmeshindwa kuiinua na game imebak hapohapo. Na kuna wakat nikiwa na drive inadisplay sms kwamba gari inatakaiwa service, sijui jinsi ya kuifanyia service au inakuja sms engne malfunction nayo sijui jnsi ya kuiweka sawa engine. Msaada naomben ili niendelee kuenjoy gam
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea![]()
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea![]()
Man, Iveco, Mercedesbenz ziko slow sana kwa speed. Ukitaka kufaidi eurotrack endesha Renault au DAF. Speed ya ajabu na zina nguvu sana.