Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Inazo mkuu jana nmedownload version 1. 22. 0. 3

Ok vizuri, ukiwa nazo zile game inakuwa simple to control. Hata mimi baada ya kuibiwa ile joystick kubwa kama gia ya gari. Natumia joy pad. Ila baadae itabidi ninunue joystick. Joystick ni 150000.
 
Kumbe you guys are cheating. Me always natumia keyboard. And am doing great. Ningekua na hayo madude yenu ningekua far sana..[emoji23]
 
Ukitaka ufaidi vizuri tafuta game pad sh 15000 tu ila hakikisha ina analog stick. Kama unataka ucheze vizuri EURO TRUCK SIMULATOR 2 au FSX vizuri tumia gamepad au joystick, FSX- tumia flight sim yoke na Euro tumia Steering wheel kama ni serious gamer.
 
Hivi hakuna namna ingine ya kufanya service mpka niite assistance???? Kuna muda unaenda sheli na unakuta kuna service bay but huwezi fanya service. How's that possible?
Kingine ninaweza badili steering bila kukatwa hela? Now naendesha Volvo sema ni left hand side na mm nataka liwe right hand side
 
Steering unasett kule mwanzo kbs kama unataka left au right
 
Nilizani mimi tu ndo mgonjwa wa hili game, kumbe wagonjwa ni wengi na wako maututi!
 
Volvo FH global trotter 750HP v/s Scania Topline 720HP Ipi bora kushinda nyingine
 
Ah hapo scania top line mkuu.
Una uhakika chief, Scania ilashanizimikia mara kibao katikati ya mlima na mzigo wa tani 24, inashindwa kuendelea hasa ikiwa unaendesha manual, sio kama Volvo maeneo hayohayo!
 
Euro bus? sijawahi kukutana na game la jina ilo kwenye website za games ka vile steam n.k, ila najua kuna Omnibus na mods za bus zinazoingizwa kwenye ETS2
Nimeweka mods za buses na ramani lakini hata sijui nafanyaje ili kuzitumia[emoji23] [emoji23]
Help plz.
 
Una uhakika chief, Scania ilashanizimikia mara kibao katikati ya mlima na mzigo wa tani 24, inashindwa kuendelea hasa ikiwa unaendesha manual, sio kama Volvo maeneo hayohayo!
Hio itakua ilikua na malfunctions maana scania always ni bad news.
 
Najaribu volvo nw ila wamenipa left hand...scania nliona kutoka london mpk armstedam linaharibika san
mkuu volvo ndio mambo yote, engine torque na acceleration ni baraa, mlio wa engine tu unamaanisha nini una offer zaidi ya scania
 
Hio itakua ilikua na malfunctions maana scania always ni bad news.
Ijaribu volvo mkuu, ndio yenye ingine kubwa kuliko gari zote kwenye game, ina 750HP ikifuatiwa na scania yenye 720HP na labda renault ndo wenye gari mbaya kuliko zote kwenye game pia.
 
Actros nayo majanga

Sent from my N9100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom