ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
Tukishacheza wawili tutamtengeneza huyo wa tatuAongezeke wa3 ndio game linoge
Tukishacheza wawili tutamtengeneza huyo wa tatuAongezeke wa3 ndio game linoge
![]()
![]()
![]()
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii![]()
Inategemea mod za aina gani sasa manake kama mimi natumia map mod na sio cheat mods.. Napendelea pia scania na man.. Profile yangu ya mwisho nilikuwa lvl ya 56,garaje kama 14 hivi na trilion kama 700 hivi za kitanzania(natumia mod ya tshs pia)... Trucks skumbuki zlikuwa ngapi ila zaidi ya ishirini.. Saiz nimeanza profile nyingine juzi juzi tu kwe version 1.22.2 kama kawaida mods zangu ni african map na tshs currency na nipo lvl ya 10 saiz with 10bill tshsTutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?
Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
Hizo mod zinapatikana vp?maana kila nikijaribu kucheza hili game online uwa linakataa!Inategemea mod za aina gani sasa manake kama mimi natumia map mod na sio cheat mods.. Napendelea pia scania na man.. Profile yangu ya mwisho nilikuwa lvl ya 56,garaje kama 14 hivi na trilion kama 700 hivi za kitanzania(natumia mod ya tshs pia)... Trucks skumbuki zlikuwa ngapi ila zaidi ya ishirini.. Saiz nimeanza profile nyingine juzi juzi tu kwe version 1.22.2 kama kawaida mods zangu ni african map na tshs currency na nipo lvl ya 10 saiz with 10bill tshs
Hizo mod zinapatikana vp?maana kila nikijaribu kucheza hili game online uwa linakataa!
Pole sana mkuuHabari wakuu, wezi wameiba mashine yangu ya games ila ninajipanga kutafuta nyingine. Natafuta desktop core i7 na monitor ya inch 32. Kama unajuaa sehemu nitapata kwa bei nafuu tustuane..
Pole sana mkuu
Asante sana mdau.
Duh.. Aisee pole sana..Habari wakuu, wezi wameiba mashine yangu ya games ila ninajipanga kutafuta nyingine. Natafuta desktop core i7 na monitor ya inch 32. Kama unajuaa sehemu nitapata kwa bei nafuu tustuane..
Mod zimejaa kbao online... Kuna web moja inaitwa modland.net na ets2.com kama skosei ndo maarufu.. Chamsingi tu uangalie kama ipo compatible na version ya game na soma comments za wengine.. Kucheza online labda kama ulinunua keys ila hizi za crack ndugu sidhani kama inawezekanaHizo mod zinapatikana vp?maana kila nikijaribu kucheza hili game online uwa linakataa!
Nimekupata kiongoziMod zimejaa kbao online... Kuna web moja inaitwa modland.net na ets2.com kama skosei ndo maarufu.. Chamsingi tu uangalie kama ipo compatible na version ya game na soma comments za wengine.. Kucheza online labda kama ulinunua keys ila hizi za crack ndugu sidhani kama inawezekana
Duh.. Aisee pole sana..
nikuuzie lenovo think center tinyHabari wakuu, wezi wameiba mashine yangu ya games ila ninajipanga kutafuta nyingine. Natafuta desktop core i7 na monitor ya inch 32. Kama unajuaa sehemu nitapata kwa bei nafuu tustuane..
nikuuzie lenovo think center tiny
core i5 4th generation
8gbram
4gb grapphic 26-inch; 16:9 aspect ratio;
LED 1920x1080 resolution
95.8 pixels per inch
250gb SSD
ni nzuri sana kwa games hasa game zinazohitaji pixer nyingi kama Gta 5 nk
yaani hutajuta mkuu
ni DESKTOP muundo kama wa i mac
yaan two in one PC and MONITER
Hizo unazohitajii zinakua bei gani?Ah za hivyo hapana.. kwanza nataka kuhama kabisa core i5 na kwenda core i7 na pili sizipendi "All in One desktops" me natafuta towers.
okay core i7 sina ila i7 nategemea unataka ya mwaka ipi mana core i3 ya 2015 nikubwa mara tatu zadi ya i7 ya 2009Ah za hivyo hapana.. kwanza nataka kuhama kabisa core i5 na kwenda core i7 na pili sizipendi "All in One desktops" me natafuta towers.
mkuu ebu pitia hapaHizo unazohitajii zinakua bei gani?
Halafu in addition naomba kama hutojali unisaidie katika ufafanuzi wa mambo yanayohusu processor za PC maana naskia tu core i3 sjui dual Pentium lakinii sielewii vizuri
Hilii linakaaje kiongozi
okay core i7 sina ila i7 nategemea unataka ya mwaka ipi mana core i3 ya 2015 nikubwa mara tatu zadi ya i7 ya 2009
na kwa desktop used kupata core I7 za genarationi za hivi karibuni adimu sana
tafuta desktop
DELL WORKSTATION T5500
ni INTER XEON huzi zinakuja na card ya NVIDIA Itakufaa 7bu utapata kwa bei nzuri na performance yake kubwa sana
Asante mkuu, niligoogle nikakuta kuna Hp Compaq 8200 elite tower ina core i7 2600 @3.4ghz naweza nikapata Dar?
Niliyokuwa natumia mwanzoni ni hiyo hiyo ila processor ni core i5 2500@ 3.3ghz.