HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Iko vzuri axee ngoja nipate muda tuendeleze project ya map ya bongo tutapena updates
Poa mkuu.
Iko vzuri axee ngoja nipate muda tuendeleze project ya map ya bongo tutapena updates
nimeiona mkuu ipo poa sana..nimeona unapiga na fsx pia...mi ni mdau pia...kila siku walau napiga flight moja ndefu online ..profile yangu hii: Worldwide VirtualWakuu waweza kucheki video ya Euro truck simulator 2 na kukoment.link ni hii hapa https://youtu.be/JYlGKogmzB4
nimeiona mkuu ipo poa sana..nimeona unapiga na fsx pia...mi ni mdau pia...kila siku walau napiga flight moja ndefu online ..profile yangu hii: Worldwide Virtual
Uzuri wa hii si lazima uwe online mda wote...unaweza uka set kila kitu ukiwa ofline mpaka pale unapotaka kwenda kupaa ndo unaunga online kwa kutumia acars yao then ukishapaa hata ukidisconect internet acars inaendelea kurecord kila kitu mpaka ukishatua na kuridhika kuwa kila kitu kipo sawa then una conect internet tena then unastop acars kisha unasend report hapo hapo ..kwisha...mi kuna flight za hadi 10hrs time huwa naweza nika ruka wakati nipo ofisini afu mda wa kufunga ofisi umefika bado nipo hewani so na pause tu then naweka sleep laptop naenda kumaliza flight home nikiwa nimetulia then nikimaliza na connect internet kwa smartphone natuma report..
kwan jman kuweka barabara za tz haiwezekan maan sometime tunamiss miji yetu
huwa natumia sana Emirates..ingawa kwenye hii virtual airline imebeba makampuni mengi ya ndege so unaamua tu leo unataka ku fly ipi au ukitaka unatengeneza custom flight..your choice..Hahaha iko poa sana, napenda sana, me bado sijajiunga na virtual airlines Current airliner ninayopenda kurusha ni Ethiopian Airlines. Wewe unatumia airline gani?
huwa natumia sana Emirates..ingawa kwenye hii virtual airline imebeba makampuni mengi ya ndege so unaamua tu leo unataka ku fly ipi au ukitaka unatengeneza custom flight..your choice..
nimeiona mkuu ipo poa sana..nimeona unapiga na fsx pia...mi ni mdau pia...kila siku walau napiga flight moja ndefu online ..profile yangu hii: Worldwide Virtual
Uzuri wa hii si lazima uwe online mda wote...unaweza uka set kila kitu ukiwa ofline mpaka pale unapotaka kwenda kupaa ndo unaunga online kwa kutumia acars yao then ukishapaa hata ukidisconect internet acars inaendelea kurecord kila kitu mpaka ukishatua na kuridhika kuwa kila kitu kipo sawa then una conect internet tena then unastop acars kisha unasend report hapo hapo ..kwisha...mi kuna flight za hadi 10hrs time huwa naweza nika ruka wakati nipo ofisini afu mda wa kufunga ofisi umefika bado nipo hewani so na pause tu then naweka sleep laptop naenda kumaliza flight home nikiwa nimetulia then nikimaliza na connect internet kwa smartphone natuma report..
Mkuuu una maanisha ikiwa 10hrs ni kweli lazima hizo 10hrs za ukweli zitimie???
No...huwa narusha zote...za long flights (Mfano sasaiv na fly kutoka dubai kwenda Shanghai ni kama 8.40 Hrs) na Emirate A380..mara moja moja ndo huwa nafanya ruti fupi kwa general aviation aircrafts...mf nikitua dar naweza nikapiga route labda ya dar zanz au arusha au popote nitakapopenda kwa kutumia ndege ndogo..napendelea zaid caravan kwa route fupi na A380 na pmdg 777 au 747 kwa route ndefu..ukicheck hapa utaona route nyingi nilizowahi fanya online..: http://www.worldwidevirtual.net/public/profile.aspx?id=2483Ok, unapenda kurusha General aviation aicrafts?
HansMapunda na sijui nini mm niliweka avion flight simulator na ndio niliipenda. Hawa fsx niliwachukia ktk kupaa namna ya kuhandle throttle nk nkaona Kama wako complicated. Sasa nao avion nikimaliza ndege mbili inakua poa. Ila ile ya tatu wansema nitazame video online ila nikitaka tazama wanasema device not connected to the internet wakati simu ina mi-GB ya kumwaga.
Nikaona ujinga nika uninstall flight Sim zote😂
No...huwa narusha zote...za long flights (Mfano sasaiv na fly kutoka dubai kwenda Shanghai ni kama 8.40 Hrs) na Emirate A380..mara moja moja ndo huwa nafanya ruti fupi kwa general aviation aircrafts...mf nikitua dar naweza nikapiga route labda ya dar zanz au arusha au popote nitakapopenda kwa kutumia ndege ndogo..napendelea zaid caravan kwa route fupi na A380 na pmdg 777 au 747 kwa route ndefu..ukicheck hapa utaona route nyingi nilizowahi fanya online..Ok, unapenda kurusha General aviation aicrafts?
mazoezi mkuu...fsx inahitaji mazoezi tu na ukishaanza kuzoea mwenyewe utaenjoy...HansMapunda na sijui nini mm niliweka avion flight simulator na ndio niliipenda. Hawa fsx niliwachukia ktk kupaa namna ya kuhandle throttle nk nkaona Kama wako complicated. Sasa nao avion nikimaliza ndege mbili inakua poa. Ila ile ya tatu wansema nitazame video online ila nikitaka tazama wanasema device not connected to the internet wakati simu ina mi-GB ya kumwaga.
Nikaona ujinga nika uninstall flight Sim zote
No...huwa narusha zote...za long flights (Mfano sasaiv na fly kutoka dubai kwenda Shanghai ni kama 8.40 Hrs) na Emirate A380..mara moja moja ndo huwa nafanya ruti fupi kwa general aviation aircrafts...mf nikitua dar naweza nikapiga route labda ya dar zanz au arusha au popote nitakapopenda kwa kutumia ndege ndogo..napendelea zaid caravan kwa route fupi na A380 na pmdg 777 au 747 kwa route ndefu..ukicheck hapa utaona route nyingi nilizowahi fanya online..: http://www.worldwidevirtual.net/public/profile.aspx?id=2483
![]()
![]()
![]()
nimeiona mkuu..imetulia sana..Jamani nimeupload video ya ETS2. Link ni hii hapa https://youtu.be/woPWKAF5_xw.
Atc napenda sana kutumia radar contact ingawa kuna siku niliiunstall sasa kurudishia tena imenigomea so natumia defult kwa sasa but mara nyingine huwa natumia ya online ..VATSIM..sema huku kuna complication balaa...ni kma vile real aviation labda ukutane na controller ambaye na yeye anajifunza ndo mtaenda sawa ila wale wajuaji wanataka wajuaji wenzao so mara chache ndo huwa naconect online tena kwa route fupi tu..Nice, kweli unaonekana unaipenda fsx, nafikiri tutabadilishana mawazo. Mimi napenda zote ila sana ni GA, hasa bush flying. Na ndege zangu ni dehaviland beaver, cessna grand caravan, piper navajo na cessna titan 404. Airliners ni 737 ngx, airbus a321 na boeing 777. Atc unatumia addon gani au unatumia default fsx atc?
Atc napenda sana kutumia radar contact ingawa kuna siku niliiunstall sasa kurudishia tena imenigomea so natumia defult kwa sasa but mara nyingine huwa natumia ya online ..VATSIM..sema huku kuna complication balaa...ni kma vile real aviation labda ukutane na controller ambaye na yeye anajifunza ndo mtaenda sawa ila wale wajuaji wanataka wajuaji wenzao so mara chache ndo huwa naconect online tena kwa route fupi tu..
bush flying huwa nafanya sana nikiwa ukanda wa africa mashariki haswa nikiwa tz maana ruti zangu huwa napenda kuunganisha ..yaani pale nilipotua mara ya mwisho ndo ntakapoanzia..