Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Nilianza kutengeneza viwanja vya kwenye mbuga za wanyama za tz ila bado sijamaliza, sasa hivi natengeneza viwanja vya msembe na jongomero ambavyo vipo ruaha national park. Unaweza kutengeneza tupeane uzoefu?
yeah..nimeshatengeneza moja ya iringa...skuwa motivated kutengeneza sana viwanja vingine sababu ya uhalisia..kwa iringa ndo nyumbani so airport yake naifahamu nje ndani kwaiyo ikawa rahisi ila kwa vingine ikawa shida kidogo sababu sina details za kutosha ..
 
Ok, minatumia google earth kupata picha ya kiwanja. Unaweza ukapost nione kinafananaje?
 
Sasa mkuu, fsx ni simulator, sio sawa na game ya super mario au brick game ya watoto wa miaka 7. Ili uinjoi fsx ni lazima usome au upate basics za real aviation. Kama unazitaka naweza kukutumia. Nitaupload video ya fsx soon kwenye youtube. Channel yangu ni hans mapunda,just search for it. Lakini kama unachukulia mzaha hutaweza, kwa sababu kuna ishu nyingi ambazo professional pilots wanazifanya. Halafu fsx tunacheza kwenye desktop au laptop yenye nguvu mkuu.

Me niliiweka ktk simu koz ipo play store. Nitafurahi ukiweka hizo video zake mkuu
 
Hans mimi naitaka hiyo simulator 2 na ile yenye Ramani ya nchi za Afrika.
 
Tutambiane kidogo, ETS 2 nani yuko Level ya juu na anamiliki gari nyingi, bila kutumia mods?

Mimi niko level 34.
Kampuni yangu ina trucks 8.
Bank kuna 300,000+.
Naendesha Scania Streamline Topline.
Explored 66% of World Map (ETS version 1.20.1)
Profit / Last 7 days 500,000+
 
Last edited:
Back
Top Bottom