HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
ni mchanganyiko mkuu...sehem za mjini nyingi ni lane mbili na za nje ya mji ni lane moja...kuna barabara inatoka tunisia vile mpaka libya...full jangwa afu pembeni ya Mediteranian sea...kuna sehem kuna kona kama za kitonga afu lane moja...very nice...ntaleta screenshort nikitulia..
Poa turushie, me napenda mojamoja kwasababu inaleta changamoto ya kuovateki. Nitajaribu kudownload kwenye hiyo link uliyotupatia.