Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

nimejaribu kupitia ile video ya jinsi ya ku install mods
lakini nilivyokuja kufungua kwenye game langu kwenye profile hakuna sehemu ya ku edit
profile ina read; create new, delete na continue hakuna edit
msaada tafadhali

Pale pale mwanzo kwenye Launchpad kuna 'Mod Manager'. Hiyo ndio ya mods.
 
Hiyo ni kmph au mph?

Thats too low kwa kmph. Kwa gari hiyo embu upgrade engine uweke ile ya 730HP na gearbox nzuri pia. Mimi nimeshafika 150+ kmph kwa hiyo gari ikiwa na mzigo. Kichwa tu unagonga 170+. Na ondoa speed limiter.
Thanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabara
 
Nilianza na scania r,baadae nikanunua man tgx iko vzr sana,nikanunua scania streamline high ndio ninayoiendesha,now nina trucks zangu 3 zote ziko on road,naombea igeuke kuwa maisha halisi ili na mimi niitwe milionea [emoji23]

Yani mimi na man tgx damu damu,
 
Thanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabara
Hahaha, UK ni kero sana, sheria kali kidogo tu unapigwa fine
 
Thanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabara

Mimi kwakweli speed limits hazinihusu. Kama hakuna gari mbele la kunizuia, ni mwendo mdundo!
 
Ijaribu volvo mkuu, ndio yenye ingine kubwa kuliko gari zote kwenye game, ina 750HP ikifuatiwa na scania yenye 720HP na labda renault ndo wenye gari mbaya kuliko zote kwenye game pia.
Volvo ndio natumia. Sema speed haina sana. Unakuta imekimbia sana ni 100
 
Hiyo ni kmph au mph?

Thats too low kwa kmph. Kwa gari hiyo embu upgrade engine uweke ile ya 730HP na gearbox nzuri pia. Mimi nimeshafika 150+ kmph kwa hiyo gari ikiwa na mzigo. Kichwa tu unagonga 170+. Na ondoa speed limiter.
Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
 
Wakuu hii game nmecheza tokea nkiwa chuo. Nlikua silali mzee asubui hii hapa. Katika game zote nahisi hii ndo nmeicheza kwa muda mrefu. Saivi nna garage kama 50 iv alaf zote zmejaa magari. Kuna muda natamani igeuke kua reality niwe milionaire
hahaha mkuu umenichekesha sana
 
Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
Kuondoa limiter haimaanish hutopigwa fain ya speed...ukikatiza na speed za ajabu maeneo ambayo hayatakiwi ukimbie..utapgwa fain tu
 
Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
Kuondoa speed limiter manake unaondoa speed governor kwenye gari, ili likimbie kadiri unavyotaka.

Fine ya speed ni ukivuka speed limit ya barabara, especially sehemu zenye speed camera kwa ets2 au kama kuna gari la polisi linapita karibu kwa American Truck Simulator.

Speed limit huwa inaonyeshwa pale kwenye GPS, pia kuna vibao barabarani though kwa American Truck Simulator sivionagi.
 
Back
Top Bottom