Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Mm sasa hivi nasafiri all over europe... Nataka ninunue scania ile ya juu kbs topline highline niwe natumia mwnyw maderreva nawanunulia gari za kawaida tu
 
Fungua website ya pirates bay then search for ets2 v1.22.2 them download. Kama hauna uttorent app download kwanza hiyo. Then ndiyo udownload kutoka pirates bay.
Mkuu ninayo hii version ya game, but mods za makampuni ya tanzania hsifsnyi kazi humu. Nifanyaje?
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
Habari wanajf. Unaweza ukajifunza jinsi ya kubadilisha makampuni katika Euro Truck simulator 2 na ukaya replace na kubadili muonekano wa trailers pia yakawa ya makampuni ya kitanzania. nimeattach picha lakini sijui kama zitakubaliwa kutokana na mambo ya kibiashara.link hii


mkuu nina Euro truck simulator v1.22.8 nahitaji bus mods, Naomba unisaidie link za kudownload mods zinazoendana na hyo version
 
Nimekuwa addicted daily lazima nicheze japo trip moja nw nipo level y 25...nina garage mbili kubwa na magari 8,madereva wangu wote nmewanunulia volvo fh classic globetrotter nmezi-upgrade na engine ya hp 750,chasis 6*4 na gearbox...mm natumia ile scania ya juu kbs topline highline
 
nimedownload hili game ila nikijaribu kufungua hilo folder la eurotruck ili niongeze hizo mods halifunguki
 
Nina wiki 2 tangu nii download hii game , garage moja mjini Birmingham, gari tatu. Great game
 
Habari wapenzi wa Euro truck simulator 2, nilikuwa kimya kidogo ila nimerudi, nimepata mashine mpya

Specs
Intelcore i5 [email protected], Nvidia gtx 750 ti 2gb, 4gb of 1333mhz ram, 500gb hdd. Kwa hiyo nategemea kurusha videos za FSX and ETS2. Karibuni. Channel link hii hapa
 
Habari wapenzi wa Euro truck simulator 2, nilikuwa kimya kidogo ila nimerudi, nimepata mashine mpya

Specs
Intelcore i5 [email protected], Nvidia gtx 750 ti 2gb, 4gb of 1333mhz ram, 500gb hdd. Kwa hiyo nategemea kurusha videos za FSX and ETS2. Karibuni. Channel link hii hapa

Asante mgagaa na Upwa, ila mashine kupata ni ishu, total budget ni 1000000/=
 
Jamani kuna version mpya ya ETS 2 ambayo ni 1.23.1

FEATURES
Steam Workshop (available only in
the Steam version, activate the
game in the Steam client)
New Rims

UI
Traffic offense can be disabled
(option)
Navigation path (red line) can be
disabled (option)
Option to keep Route Advisor
hidden while getting new
notifications
Autopark feature can be disabled
(option)
Speeding highlight on Route
Advisor

VEHICLES
Smart cruise control can use
activated engine brake when no
retarder is present
Advanced shifting simulation
Real shifter layouts (Scania, Volvo,
ZF). To activate them you need to
use new profile or remove your
custom H-Shifter layouts
Improved truck stability during
retarder usage

OTHER
AI improvements
Traffic offense costs scaled by
player level
 
Na mm ni mpenz wa hili game naomben link koz nilishawah kucheza kwenye pc ya rafiki yangu. Sasa nataka nilipate ni cheze kwenye laptop..
 
Kwa wapenzi wa two lanes zipo hasa katika barabara za Norway full mikona kona kama milima kitonga
 
Back
Top Bottom