Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Ingien torrents mna download version 1.20.1 ni latest ns ipo vzur ile mbaya gari inanesa.. Kuna improvements za engine sound.miji imrongezeka.brake simulation etc
 
Ila ningefurahi zaidi kama kungekuwa na barabara za kibongo...mie ninayo lakini zijazi install hizo mods za mabasi sema kungekuwa na atlist sehemu rough roads
 
Inawezekana ku drive in african roads??? Yaani naweza kuwa hata na rough road japo moja?
 
Hii game sikuwai kuicheza, nmeipakua imenivutia tatzo limekuja wakat nadrive gari ikapinduka nmeshindwa kuiinua na game imebak hapohapo. Na kuna wakat nikiwa na drive inadisplay sms kwamba gari inatakaiwa service, sijui jinsi ya kuifanyia service au inakuja sms engne malfunction nayo sijui jnsi ya kuiweka sawa engine. Msaada naomben ili niendelee kuenjoy gam
 
Hii game nmeidownload nmeipenda ila shida nnayoipata ni pale engine inapokua malfunction sijui jnsi ya kuirekebisha. Mission nnayopewa ya kudeliver mzgo nashndwa kufaham location ni wap natakiwa kupeleka mzigo, kama kuna njia rais ya kutambua jinsi ya kujua wap natakiwa niende naomba kufahamishwa! Kuna time sms inajdisplay kwmba nmechoka natakiwa kupumzka, je sehem gan nayopaswa kupumzka na ntaitambuaje?
 
Da iko vizuri sana, weka basi na vituo vya bongo au miji ya kibongo

Ee bwana ninapataje hizo chata za hood na abood, pia naomba kujua jinsi ya kutengeneza. Pia kama kuna mtu anapenda kuendesha ndege kwa kutumia FSX ( microsoft Flight simulator X) Tuambiane basi tupeane ujuzi.
 
Inawezekana ku drive in african roads??? Yaani naweza kuwa hata na rough road japo moja?
rough roads inasemekana zipo ktk map ya korea(mimi bado cjajaribu kuitumia) so ww tafuta hiyo mod ya korea map uijaribu.
 
pole mkuu,gari likipata ajali or likiharibika unatakiwa ulipeleke garage kulitengeneza na unafollow steps zifuatazo, 1.press F7 2. press Ok or Enter then utaona gari lipo garage then utachagua kuna option ya kutengeneza na kupaka rangi
 
Ee bwana ninapataje hizo chata za hood na abood, pia naomba kujua jinsi ya kutengeneza. Pia kama kuna mtu anapenda kuendesha ndege kwa kutumia FSX ( microsoft Flight simulator X) Tuambiane basi tupeane ujuzi.
check hii attachment nimeweka mods na hayo makampuni ya kibogo bt ya mabasi ina MBs nyingi kidogo ntaiweka soon. NOTE. mods hizi zinafanya kazi ktk version ya 1.7 na kuendelea so make sure game yako ina hiyo version or zaidi
 

Attachments

Ok, nitacheki mkuu. Ila kama tunaweza kutengeneza map ya bongo itakuwa vizuri sana. Valentina, unataka kujifunza game gani?
 

Kama unamtandao wa kasi (3G), unaweza ukacheki tutorials kwenye youtube. Au nikusaidie hapa hapa?
 
Ok, nitacheki mkuu. Ila kama tunaweza kutengeneza map ya bongo itakuwa vizuri sana. Valentina, unataka kujifunza game gani?
kutengeneza map ya bongo inawezekana bt itakuwa haina uhalisia sana co vitu kama majengo lazima utumie yaleyale yaliyopo ktk game na majina ya miji pia inachukua muda kidogo kuyabadilisha
 
kutengeneza map ya bongo inawezekana bt itakuwa haina uhalisia sana co vitu kama majengo lazima utumie yaleyale yaliyopo ktk game na majina ya miji pia inachukua muda kidogo kuyabadilisha

Poa kama vipi tuanze mchakato basi hata kama haitakuwa na uhalisia sana. Me siwezi kutengeneza ila nina interest ya kutaka kujua kutengeneza. Rough road si inawezekana kutengeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…