Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

enzi hizo version ya 1.21
mi nnayo ambayo ina mods za african road(north africa- Egpty ,morocco,libya) tayari ...bonge la game and very nice kwa kutuliza mind..my favourite!
 
Bwana Ukwaju uko na huku
si jamaa katuleta. huku ndio ile ETS ya zamani mpaka ukalipie KEY au ukanunue Game dukani
kumbuka enzi hizo Lowassa bado waziri Mkuu
naona hata Graphics za magari/ malori rangi haioneshi vizuri
mm nilianzia version ya 1:21 wanakupa intro baadae unaweka Key usipoweka ndio mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…