Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Poa kama vipi tuanze mchakato basi hata kama haitakuwa na uhalisia sana. Me siwezi kutengeneza ila nina interest ya kutaka kujua kutengeneza. Rough road si inawezekana kutengeneza?
Yeah inawezekana sio kazi sana sema inatake time ngoja tuanza taratibu baada ya muda tuna weza tukawa na kitu hata miji mitano tu ya kuanzia.
 
rough roads inasemekana zipo ktk map ya korea(mimi bado cjajaribu kuitumia) so ww tafuta hiyo mod ya korea map uijaribu.

Map ya South Korea ina rough road lakini tatizo sio realistic kabisa yani.
 
mi natumia toshiba satelite RAM 2GB, HD 500 GB na processor 2.13GHtz

Ok, nilifikiri unatumia desktop nilitaka nikuulize Graphics Card. me natumia desktop
HP COMPAQ MINITOWER ELITE 8200
Processor Intel core i5 2400 3.1 Ghz, RAM 4GB DDR3 1333Mhz, Hard Disk 500 7200 rpm, Graphics card Nvidia geforce Gt 630 2GB Ram DDR3, Monitor 32 inch HDTV, Controller Logitech 3D Joystick.
 
check hii attachment nimeweka mods na hayo makampuni ya kibogo bt ya mabasi ina MBs nyingi kidogo ntaiweka soon. NOTE. mods hizi zinafanya kazi ktk version ya 1.7 na kuendelea so make sure game yako ina hiyo version or zaidi

Sasa hivi natumia v1.21.1 zitafanya kazi?
 
kwani unashida yoyote ktk kucheza hilo game mkuu?
 
kwani unashida yoyote ktk kucheza hilo game mkuu?

Hakuna shida saana ila napata 30fps mijini, settings graphics card zikiwa high. Nina mpango wa kupata graphics card kubwa kidogo lakini ya bajeti. Nazungumzia gtx 750 ti.
 
Sio nzuri sana kama Euro truck simulator mkuu. Nakushauri chukua Euro truck Simulator 2 version 1.21.1

Tatizo la Euro truck simulator malori yake hayana speed kuna mzgo unaitwa Scania simulator ni hatare mzee
 
Tatizo la Euro truck simulator malori yake hayana speed kuna mzgo unaitwa Scania simulator ni hatare mzee
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea
 

Attachments

  • ets2_00001.jpg
    60.2 KB · Views: 345

Bonyeza f7 kisha fata maelekezo waje kukubebea gari waipeleke ktk garage ya karibu ikatengenezwe
 
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea

Afadhali umemuonesha. Current naendesha man 680hp nafika speed mpaka 150km/h.
 
Man, Iveco, Mercedesbenz ziko slow sana kwa speed. Ukitaka kufaidi eurotrack endesha Renault au DAF. Speed ya ajabu na zina nguvu sana.
 
kama unatumia uero tuck kuanzia version ya 1.17 na kuendelea kuna option ya kutoa speed limiter mkuu bt kama chini ya hapo kuna mod unatakiwa udownload kutoa speed limiter. hii picha ni kwa version 1.17 na kuendelea

Salute kwako mkuu
 
Man, Iveco, Mercedesbenz ziko slow sana kwa speed. Ukitaka kufaidi eurotrack endesha Renault au DAF. Speed ya ajabu na zina nguvu sana.

Kwa nini unasema man haina speed, me ninachoona speed inategemea nguvu ya engine( horse power,hp), gearbox na transmission system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…