Makampuni ya Utalii na Hoteli za Kitalii


Ni kweli kabisa, kodi nyingi zinatufanya kukosa wageni wengi. na kupata wageni wengi kunachangamsha uchumi.

Wao wanaangalia direct money, bila kuangalia sekta nyingine kama sanaa na kilimo.

Serikali inatakiwa kusikiliza maoni ya wadau...Serikali haifanyi biashara...kuna mambo mengi hawajui
 
MPadmire tafuta Government Notice Namba 351 iliyochapishwa tarehe 8/5/2020; ukisoma kwa makini utagundua serikalini hawajui kama kuna anguko la biashara.
 
"E - Lodges kupunguziwa kodi ili na wao wapunguze room price" hapa napasubiria kwa hamu,maana Mbuga haiko mbali na ninapoishi,wakishusha tu bei naenda kulala na mimi kwenye lile li hoteli lililopo ndani ya mbuga,maana katika hali ya kawaida na umasikini wangu huu sikuwahi kutarajia itakuja kutokea mimi kulala mle ndani...
 
Kwani usingizi mmoja zile hotel zinazunguka crator ni bei gani?Nataka nivizie usingizi mmoja
 
Kwani usingizi mmoja zile hotel zinazunguka crator ni bei gani?Nataka nivizie usingizi mmoja
Hizo za huko sijui mkuu,ila hii ilioko karibu na kwangu usiku mmoja ni 1,350,000/= kwa usiku mmoja...
 
Ombea Mungu wanaweza kufikia hatua ya kuwalaza watu bure ila wanunue chakula na vinywaji. Mfano halisi ni bei ya mafuta ghafi kule Marekeani
 
Hizo za huko sijui mkuu,ila hii ilioko karibu na kwangu usiku mmoja ni 1,350,000/= kwa usiku mmoja...
Hiyo nyingi sana kwa uchumi wetu angalao ifike chini ya laki tano tunaweza kuwaunga mkono
 
well-said, clearly and eloquently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…