Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.NSSF watoe kiasi fulani cha akiba kwa kila mfanyakazi wa Private sekta (utalii) ili waweze kujikimu.
Mkoa wa Arusha utoe ushauri kwa Wenye nyumba, ili wapunguze Kodi au watoe unafuu, labda kulipa baadae.
Kama Serikali itaona umuhimu kutazama LUKU na bili za maji
Nasemea idadi kubwa ya watalii umri umeenda. Sijasema watalii wote.Kwa hiyo unamaanisha hadi hawa wa umri wa kati watakapozeeka ndipo watakapoanza kuja kutalii Afrika siyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalii wa ndani utafanywaje na watu wasio na disposable income mkuu?Mzee Baba wa Chato alikataa kuweka Dar kwenye lockdown huku akihofia kupoteza mapato ya serikali! Sasa hii hoja ya kupunguziwa Kodi nk kweli ataikubali??
Halafu hata kama tukifuta ada zote, haitawaleta watalii, kwa sababu nchi zao zimekataza raia wao kusafiri nje!...
ZSSF (Zanzibar) jana imewajibu wafanyakazi waliopitia majanga haya huko Zenji kwamba wao wanasimamia sheria zinavyosema na hakuna sheria inayoruhusu mfuko kutoa pesa kipindi cha janga kama hili,ndivyo walivyojibu.NSSF watoe kiasi fulani cha akiba kwa kila mfanyakazi wa Private sekta (utalii) ili waweze kujikimu.
Mkoa wa Arusha utoe ushauri kwa Wenye nyumba, ili wapunguze Kodi au watoe unafuu, labda kulipa baadae.
Kama Serikali itaona umuhimu kutazama LUKU na bili za maji
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.
Ni mada sensitive sana.
Tunaumia sana mda huu landcuriser Toyota kupeleka kilombero kuhemea vitunguu na bamia na kuirudisha parking ..
Mwaka huu ni wa hovyo kuliko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukimshauri ndio umeharibu kabisaa baba hapangiwi cha kufanyaMleta mada umeongea vizuri.
Alishawahi kusema kuwa hashauriki.
Sijui ngoja tuone.
Ushauri mujarabu.Hali si shwari, Corona virus imeleta madhara makubwa katika sekta ya utalii
A - Hakuna biashara na hakuna nafuu katika miezi 3 ijayo
B - Wafanyakazi wengi sana wamepewa likizo bila malipo
C - Serikali kukosa mapato (Park entry fees $$$ £££) foreign money kwa kiasi kikubwa
D - Je, bado TRA inawadai Kodi Hoteli na Makampuni ya kitalii?
Kuna haki ya kukamua maziwa kutoka kwa Ng'ombe mwenye njaa?
Ombi kwa Mheshimiwa Waziri na Rais wetu
TRA - wasamehe Corporate tax kwa miezi 3
Wafanyakazi wa Sekta ya utalii (Private sekta) wapewe Robo ya akiba yao katika kipindi hiki cha mpito.
Lingine: Wizara ya Mali asili na utalii na TTB, wabuni mikakati ili kukabili Kipindi kigumu cha uchumi Duniani. Watalii watakuwa hawana pesa za kutosha...Kupunguza gharama za kutembelea Tanzania. Nashauri yafuatayo
A - Kupunguza JET fuel (kupunguza bei mafuta ya ndege)
B- Kupunguza landing fee ya ndege
C- Kupunguza VAT kutoka 18 hadi 12% kwenye park fee za mbuga za wanyama
D - Kupunguza Park fee kwenye mbuga za wanyama
E - LOdges kupunguziwa kodi ili na wao wapunguze room price
F - Kupunguza VISA fee
G - Kukaa na Private sector (Hotel na Kampuni za utalii) na kusikiliza Maoni.
Waziri Kigwangala alifanya vizuri sana kukaa na wadau pale mwanzoni na kusikia maoni. Waziri asichoke.
Wabunge pia waishauri serikali.
Wana JF, mnakaribishwa kwa maoni.
Uzalendo mbele kwanza..
Watu kwa kujikosha kwa mkuu hawajambo!!! Niliona kwenye taarifa ya habari eti TANAPA sasa hivi wameanzisha program ya utalii kwa njia ya video eti wanarekodi matukio ya wanyama porini na kisha wanawatumia watalii waangalie wakiwa vyumbani kwao!! Eti ndio ubunifu waliobuni huo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipeleke jukwaa la siasa pia.
Ni mada sensitive sana. Tunaumia sana muda huu landcuriser Toyota kupeleka kilombero kuhemea vitunguu na bamia na kuirudisha parking.
Mwaka huu ni wa hovyo kuliko.
Sent using Jamii Forums mobile app