Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya.
Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au Mtanganyika mwingine basi Ndejembi atahamishiwa uwaziri mkuu.