Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Aug 28, 2026 #1 Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya. Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au Mtanganyika mwingine basi Ndejembi atahamishiwa uwaziri mkuu.
Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya. Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au Mtanganyika mwingine basi Ndejembi atahamishiwa uwaziri mkuu.
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 981 Reaction score 1,411 Aug 28, 2026 #2 Who Are you????