Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe akatae Machawa ya kumchawia kamu huyu Shehe kasema wazi kuwa alipewa Cheo na Mbowe alipotoka CUF.
 
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?

Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?

Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?

Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.

Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
Anatoa Mada Mpumbavu asiyejua kitu kuhusu siasa wala sheria, katika Field yoyote uliyopo, hakuna unachomzdidi Lissu, na sasa ni Lissu pekee ambaye wananchi wanamsikiliza ndani ya CDM, kaprove kwa miaka mingi, sio Mnaongozwa na Form six failures kama Mbowe!
 
Clearly CHADEMA falls short of prudent elders who could have addressed Mbowe's stupidity. In 2015, when Jakaya was about to make a fatal mistake with MEMBE, party elders boldly called out his stupidity and returned his in the line.

Mizee ya CHADEMA yote imekuwa michawa. Noma sasana.​
I wish you best of lucky with your illness!
 
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?

Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?

Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?

Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.

Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
HUyo ana element za mboga mboga shida nchi hii ukiwa mtu wa sheria basi wasio jua sheria wataoma unaropoka
 
Mbowe akatae Machawa ya kumchawia kamu huyu Shehe kasema wazi kuwa alipewa Cheo na Mbowe alipotoka CUF.
Masheikh ni wa kweli, sio kama Askofu Mapinduzi, alikuwa mbeba magunia ya mkaa pale Randall, ghafla anajiita askofu
 
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?

Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?

Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?

Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.

Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
Lisu anafaa apambane na huyu bibi kwasababu wote waropokaji, aliniacha hoi aliposema mlinzi mweusi wa magufuli amekufa
 
Ndiyo ilalisema na hapa namnukuu " his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”
Jamaa muongo sana
 
Wewe na kunguni wenzio ghafla mmeanza kumsifia Mbowe mliyemuita Mugabe wa Chadema na kwamba anaongoza SACCOS ya wachaga.

Utahangaika sana , ulianza kwa Warioba sio jaji yakakushinda sasa umehamia kumsifia Mbowe tunajua mwisho wa kunguni unakuwaje.
IMG-20240628-WA0014.jpg
 
Masheikh ni wa kweli, sio kama Askofu Mapinduzi, alikuwa mbeba magunia ya mkaa pale Randall, ghafla anajiita askofu
Mumetumwa na Abduli muje mchochee "mgogoro" kwasababu Lissu alikataa RUSHWA yenu?
 
Back
Top Bottom