Anatoa Mada Mpumbavu asiyejua kitu kuhusu siasa wala sheria, katika Field yoyote uliyopo, hakuna unachomzdidi Lissu, na sasa ni Lissu pekee ambaye wananchi wanamsikiliza ndani ya CDM, kaprove kwa miaka mingi, sio Mnaongozwa na Form six failures kama Mbowe!Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?
Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?
Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.
Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
I wish you best of lucky with your illness!
Clearly CHADEMA falls short of prudent elders who could have addressed Mbowe's stupidity. In 2015, when Jakaya was about to make a fatal mistake with MEMBE, party elders boldly called out his stupidity and returned his in the line.
Mizee ya CHADEMA yote imekuwa michawa. Noma sasana.
Mmejua baada ya jamaa kugombea uenyekiti?Sasa hivi imenyesha, tumegundua jumba linavuja-ni mropokaji
I wish you best of lucky with your illness!
Best of luck with your illness.Says a depraved fool who once thought Fisadi Lowassa could be a President of URT.
HUyo ana element za mboga mboga shida nchi hii ukiwa mtu wa sheria basi wasio jua sheria wataoma unaropokaKama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?
Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?
Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.
Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
Na wewe una social ..?Lissu ana tatizo la kiakili lijulikanalo kama Epilepsy, ambalo limempelekea kuwa na social stigma.
Wanajua ugali wao una karibia kumwagwaMbowe akatae Machawa ya kumchawia kamu huyu Shehe kasema wazi kuwa alipewa Cheo na Mbowe alipotoka CUF.
Lisu anafaa apambane na huyu bibi kwasababu wote waropokaji, aliniacha hoi aliposema mlinzi mweusi wa magufuli amekufaKama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu?
Kama chadema ina uozo, he si kweli kwamba Lissu alikuwa mshauri mkuu wa uozo huo?
Uchaguzi huu unaweza kummaliza Lissu kisiasa kuliko Mbowe, ninsuala la mtu kukaa na kumfanyia analysis tu, na kumuanika.
Nje ya tusheria anatojua, ni mweupe pee!
Ndiyo ilalisema na hapa namnukuu " his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”Lisu anafaa apambane na huyu bibi kwasababu wote waropokaji, aliniacha hoi aliposema mlinzi mweusi wa magufuli amekufa
Best of luck with your illness.
Mgambo wanaruka na kukanyagana....Tundu Lissu kawashikeni pabaya sana, poleni sana.
Mumetumwa na Abduli muje mchochee "mgogoro" kwasababu Lissu alikataa RUSHWA yenu?Masheikh ni wa kweli, sio kama Askofu Mapinduzi, alikuwa mbeba magunia ya mkaa pale Randall, ghafla anajiita askofu
I wish you best of lucky with your illness!!Says a depraved fool who once thought Fisadi Lowassa could be a President of URT.