Poleni nyote
Kuna Masharti Yaliyotolewa Na TCU Yaani Wayakamilishe Nadhani Wanaelekea VemaHivi hicho chuo si kilikuwa kimefungiwa? Apumzike kwa amani Zumbe Kihiyo.
Yule alikua anaitwa Ramadhani Kihiyo inawezekana ni ndugu lakini.Huyu Kihiyo ndio yule mwanzilishi wa hili neno'kihiyo' ?
May his memory always be a blessing
How!!!??Vijana wana tuulia wazee[emoji28]