TANZIA Makamu Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa, Profesa Kihiyo afariki dunia

TANZIA Makamu Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa, Profesa Kihiyo afariki dunia

Ni changamoto au hizi Tanzia sasa tumeanza kuzizoea
 
Wapuuzi watasema Corona
GM.jpg
 
Nimeona KKKT pia kupitia updendo media wametangaza kilo cha msaidizi wa askofu Ruvuma kama sikosei yaani RIP kwa kweli
 
Too many IRPs more than I Love You
 
Huyu Kihiyo ndio yule mwanzilishi wa hili neno'kihiyo' ?
May his memory always be a blessing
Kihiyo alikuwa msindi wa ubunge- Temeke ushindi wake ukapingwa mahakamani na Wakili Lamwai kwa sababu ndugu Kihiyo alijipa sifa za elimu ambazo hakuwa nazo- ubunge wake ulitenguliwa na mahakama. Kutoka mapo neno KIHIYO likanza kutumika kuwaelezea wasomi uchwara.
 
Maprofesa again, sawa,
Nenda tu msomi wa watu Mungu mpokee Mtumishi wako.
 
Back
Top Bottom