Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Una uhakika ndiye huyu mkuu?Kihiyo alikuwa msindi wa ubunge- Temeke ushindi wake ukapingwa mahakamani na Wakili Lamwai kwa sababu ndugu Kihiyo alijipa sifa za elimu ambazo hakuwa nazo- ubunge wake ulitenguliwa na mahakama. Kutoka mapo neno KIHIYO likanza kutumika kuwaelezea wasomi uchwara.
Wewe unasema ni nini?Wapuuzi watasema Corona
mkuu siyo huyu; nilikuwa namuelesha aliyedhani kuwa huyi ndiye chanzo cha jina lile la kebehi KIHIYOUna uhakika ndiye huyu mkuu?
Sawa sawa mkuu, kwani nakumbuka jina la kwanza lilikuwa la kiislamu kama sijakosea. Nimekuelewa mkuu, wana undugu au ni majina tu.mkuu siyo huyu; nilikuwa namuelesha aliyedhani kuwa huyi ndiye chanzo cha jina lile la kebehi KIHIYO
Mkuu yatakuwa majina ya koo tu- udungu kwa mbaliSawa sawa mkuu, kwani nakumbuka jina la kwanza lilikuwa la kiislamu kama sijakosea. Nimekuelewa mkuu, wana undugu au ni majina tu.