Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Balile yuko sahihi vyombo vya habari havipigi kura

Hujawahi kuwa na 'Akili' hasa uwapo hapa JamiiForums. Niliposema kuwa Paul Makonda hapiti Kigamboni 'ulinidhihaki' hapa je, amepitishwa huko?
 
Jamani yule Dr Ulimboka yu wapi siku hizi?

Wewe kama tu Kucha zimenyofolewa kwa Bisibisi, Pumbu zimetikiswa na 'zikawamba' na 'Ndole' za maana zimeingizwa 'Kunako' utahangaika tena?
 
Kumbe Wewe ni Mtani wangu kabisa Mkuu kutokea huko Singida? Je, ni Mama tu ndiyo anatokea huko / hata na Mzee nae ili Utani wangu Unoge?
 
Sio kweli, wamo kwenye siasa kwani kwa ujinga wao awameshakubali kutumika.

Katiba ya nchi imekuwa ikivunjwa mchana kweupe kwa miaka mitano. Walijitahidi kunyamaza ili tu wapendwe.

Uhuru wa wasio CCM kufanya siasa umeminywa waziwazi. Uhuru wao wa kuandika na kusambza habari umeminywa. Wenzao wametishwa, wameuawa kikatili hadi wengine kukimbia nchi yao.

Akina Balile wamekuwa busy wanaimba mapambio kwa udhalimu na wadhalimu. Ninashuku hata hiyo hotuba ya Balile ilibidi kupitishwa na Dr Abbas kama za kule mjengoni na maoni ya binafsi kuwekewa mipaka.

Sasa wamechokwa. Sasa basi
 
Wote huko huko. Mama Manyoni, mzee baba itigi.

Sawa Mtani. Na sasa nitakuwa nakupiga Madongo kwelikweli kama ninayowapiga Wahaya, Waha, Warangi na Wakara ambao ni Watani zangu mno.
 
Sawa Mtani. Na sasa nitakuwa nakupiga Madongo kwelikweli kama ninayowapiga Wahaya, Waha, Warangi na Wakara ambao ni Watani zangu mno.

Sina tatizo na Madongo boss maana ndio raha ya siasa. Na uzuri sikuteki hata ukinipiga madongo.
 
Hahaha ashukuru kiboko yake Ruge Mutahaba alifariki, alimyoosha kwenye mgogoro wao na Makonda.
Sasa kesha shiba amevembewa anaanza kutucheulia hovyo hovyo.

Siku zake sio nyingi atatoka hapo alipo ndio atajua uandushi ni nini?!
Alimnyooshaje mzee? Ongeza chumvi kidogo
 
Huyu mpumbavu badala ya kumwambia magufuli aache kuwachaguli habari za kuripoti yeye kamuona Msigwa shubamit! msigwa asemeje kama wao wanatoa habari za upande mmoja?
Kila siku nyimbo ni sgr, stigla,bombadia magu hadi inaboa
 
Imeanza lini kwa 'aliyeshiba' kuanza Kumkumbuka mwenye 'njaa' nchini Tanzania Mkuu?
 
Watawala kwa makusudi wanagonganisha vyombo vya habari na wapinzani. Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinatumiwa kuwaandama wapinzani kwa hiyo wapinzani nao wanaona "samaki mmoja akioza wote wameoza".
 
Usilazimishe wamuonyeshe kwani anajambo gani alilolifanya la maana,kungea na kulopoka ndio tumpe muda kwenye tv zetu wakati kuna mradi wa umeme mg 2100 utakaotufanya tununue unit kwa tsh 50,na mlivyo wajinga mnataka uhuru wa vyombo vya habari kuelezea watu waandamane,nilipigwa risasi ni wajinga tu ndio watakaoungana na huyu shoga na kibaraka .
 
Huyu mpumbavu badala ya kumwambia magufuli aache kuwachaguli habari za kuripoti yeye kamuona Msigwa shubamit! msigwa asemeje kama wao wanatoa habari za upande mmoja?
Kila siku nyimbo ni sgr, stigla,bombadia magu hadi inaboa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unajua kuna mafanikio flani nahisi ukiwa sehemu flani itabidi u mute usitaje. Naona km yako mengi sana ambayo ku mute ni busara ukiwa sehem flani.
Bombadia na vingine uko kijijini huko ndani ndani unanadi sera zako eti unataja bombardier, ubungo flyover, njia sita morogoro road. Watu watashindwa washangilie auuu.
Uko kijiji hakina lami hata moja then umekazana barabara kilometer milioni tumejenga.
Mafanikio yapo lkn safar ni ndefu.
Anyhow ndio siasa zilivyo lazima upige domo tu japo ukweli unajua
 
Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
Huwezi kuingia ikulu kwa kutumia Facebook hapa Tanzania
 
Haya endeleleeni huko huko Twitter, YouTube na Instagram na jamii Forums msibwekee media basi kelele za Nini?
Hivi kuna mtu makini na timamu bado ananunua hivi vijarida vya kuchambia Jamvi la wageni, uhuru na Tazama? Au anapoteza muda kuangalia Tbccm kweli?
 
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
Hivi wewe kwa mara ya mwisho umenunua lini gazeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…