Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Balile yuko sahihi vyombo vya habari havipigi kura

Hujawahi kuwa na 'Akili' hasa uwapo hapa JamiiForums. Niliposema kuwa Paul Makonda hapiti Kigamboni 'ulinidhihaki' hapa je, amepitishwa huko?
 
Jamani yule Dr Ulimboka yu wapi siku hizi?

Wewe kama tu Kucha zimenyofolewa kwa Bisibisi, Pumbu zimetikiswa na 'zikawamba' na 'Ndole' za maana zimeingizwa 'Kunako' utahangaika tena?
 
Hakuna mtu mwenye smartphone asiyejua facebook au twitter. Mimi mama yangu ni mzee yuko Itigi huko Singida anajua WhatsApp, Facebook nk, itakuwa watu wa huku mijini? Ccm ni chama outdated ndio maana bado karne hii ya 21 kinatumia njia za karne iliyopita. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika na kinajua mambo, tazama mikutano ya Lisu haina promo kwenye hivyo vyombo vya kizee, lakini nyomi kama lote. Ccm iendelee kujivunia wenye uhaba wa habari halisi, bali itegemee kizazi kichovu kinachosubiri habari za kutengenezewa.

Kumbe Wewe ni Mtani wangu kabisa Mkuu kutokea huko Singida? Je, ni Mama tu ndiyo anatokea huko / hata na Mzee nae ili Utani wangu Unoge?
 
Sisi hatupo kwenye siasa, hatufanyi siasa isipokuwa tunaandika ukweli juu ya jambo lilitokea. Inawezekana waandishi wa habari hawakwenda kwenye mkutano wake lakini hakutuambia kama aliwaalika au La, tuwe wazi haiwezekani kama tutakuwa kwenye kila mkutano.
Sio kweli, wamo kwenye siasa kwani kwa ujinga wao awameshakubali kutumika.

Katiba ya nchi imekuwa ikivunjwa mchana kweupe kwa miaka mitano. Walijitahidi kunyamaza ili tu wapendwe.

Uhuru wa wasio CCM kufanya siasa umeminywa waziwazi. Uhuru wao wa kuandika na kusambza habari umeminywa. Wenzao wametishwa, wameuawa kikatili hadi wengine kukimbia nchi yao.

Akina Balile wamekuwa busy wanaimba mapambio kwa udhalimu na wadhalimu. Ninashuku hata hiyo hotuba ya Balile ilibidi kupitishwa na Dr Abbas kama za kule mjengoni na maoni ya binafsi kuwekewa mipaka.

Sasa wamechokwa. Sasa basi
 
Sawa Mtani. Na sasa nitakuwa nakupiga Madongo kwelikweli kama ninayowapiga Wahaya, Waha, Warangi na Wakara ambao ni Watani zangu mno.

Sina tatizo na Madongo boss maana ndio raha ya siasa. Na uzuri sikuteki hata ukinipiga madongo.
 
Hahaha ashukuru kiboko yake Ruge Mutahaba alifariki, alimyoosha kwenye mgogoro wao na Makonda.
Sasa kesha shiba amevembewa anaanza kutucheulia hovyo hovyo.

Siku zake sio nyingi atatoka hapo alipo ndio atajua uandushi ni nini?!
Alimnyooshaje mzee? Ongeza chumvi kidogo
 
Huyu mpumbavu badala ya kumwambia magufuli aache kuwachaguli habari za kuripoti yeye kamuona Msigwa shubamit! msigwa asemeje kama wao wanatoa habari za upande mmoja?
Kila siku nyimbo ni sgr, stigla,bombadia magu hadi inaboa
 
Huyu mpumbavu badala ya kumwambia magufuli aache kuwachaguli habari za kuripoti yeye kamuona Msigwa shubamit! msigwa asemeje kama wao wanatoa habari za upande mmoja?
Kila siku nyimbo ni sgr, stigla,bombadia magu hadi inaboa

Imeanza lini kwa 'aliyeshiba' kuanza Kumkumbuka mwenye 'njaa' nchini Tanzania Mkuu?
 
Watawala kwa makusudi wanagonganisha vyombo vya habari na wapinzani. Kuna baadhi ya vyombo vya habari vinatumiwa kuwaandama wapinzani kwa hiyo wapinzani nao wanaona "samaki mmoja akioza wote wameoza".
 
Mpaka sasa vyombo vya habari vimeshachemka! Vimeshajionyesha waziwazi kuwa vina upande vinakoshabikia tena hizi luninga kama Azam Tv mkiendelea na huu ushabiki mtaacha tuache kabisa kutazama chanel za kingamuzi chenu kama ambavyo tulishaacha kutazama TBC na Chanel Ten! Mifano ipo mingi ila nitoe tu mfano wa taarifa ya Habari ya jana jumapili Tarehe 23.08.2020, Wakati natazama chanel namba UT-108, Kuna taarifa ilisema "Watanzania watakiwa Kuchagua viongozi wenye Hofu ya Mungu na wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa "...Wakati habari hiyo ikisomwa picha ya video ilikuwa ikimuonyesha Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Dodoma, akimbariki Mgombea urais wa CCM! Ile ni kampeni ya waziwazi na picha ile na maelezo yalitengenezwa na wahariri! Baada ya kuona hali hiyo nisiyokubaliana nayo nilibadili chanel nikafungua ITV ambayo pia ilirusha tukio hilo ambalo angalau wao walibalance mizania kwa kuandika "Rais Maguli azindua Kanisa na Nyumba ya mapadre"! Tukio lilikuwa ni uzinduzi wa Kanisa na nyumba lakini likatumika vibaya kushawishi watu kuwaona wagombea wa upinzani ni watu wasio na hofu ya Mungu wala kutanguliza maslahi ya taifa Mbele ila CCM tu! Jamani maaskofu jitengeni na upendeleo wa kisiasa ninyi ni wachungaji wa kondoo wote, vinginevyo mtaacha tuyapuuza hata mafundisho yenu!
Usilazimishe wamuonyeshe kwani anajambo gani alilolifanya la maana,kungea na kulopoka ndio tumpe muda kwenye tv zetu wakati kuna mradi wa umeme mg 2100 utakaotufanya tununue unit kwa tsh 50,na mlivyo wajinga mnataka uhuru wa vyombo vya habari kuelezea watu waandamane,nilipigwa risasi ni wajinga tu ndio watakaoungana na huyu shoga na kibaraka .
 
Huyu mpumbavu badala ya kumwambia magufuli aache kuwachaguli habari za kuripoti yeye kamuona Msigwa shubamit! msigwa asemeje kama wao wanatoa habari za upande mmoja?
Kila siku nyimbo ni sgr, stigla,bombadia magu hadi inaboa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unajua kuna mafanikio flani nahisi ukiwa sehemu flani itabidi u mute usitaje. Naona km yako mengi sana ambayo ku mute ni busara ukiwa sehem flani.
Bombadia na vingine uko kijijini huko ndani ndani unanadi sera zako eti unataja bombardier, ubungo flyover, njia sita morogoro road. Watu watashindwa washangilie auuu.
Uko kijiji hakina lami hata moja then umekazana barabara kilometer milioni tumejenga.
Mafanikio yapo lkn safar ni ndefu.
Anyhow ndio siasa zilivyo lazima upige domo tu japo ukweli unajua
 
Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
Huwezi kuingia ikulu kwa kutumia Facebook hapa Tanzania
 
Haya endeleleeni huko huko Twitter, YouTube na Instagram na jamii Forums msibwekee media basi kelele za Nini?
Hivi kuna mtu makini na timamu bado ananunua hivi vijarida vya kuchambia Jamvi la wageni, uhuru na Tazama? Au anapoteza muda kuangalia Tbccm kweli?
 
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
Hivi wewe kwa mara ya mwisho umenunua lini gazeti?
 
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
Hivi wewe kwa mara ya mwisho umenunua lini gazeti?
 
Back
Top Bottom