Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
Hakuna mtu mwenye smartphone asiyejua facebook au twitter. Mimi mama yangu ni mzee yuko Itigi huko Singida anajua WhatsApp, Facebook nk, itakuwa watu wa huku mijini? Ccm ni chama outdated ndio maana bado karne hii ya 21 kinatumia njia za karne iliyopita. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika na kinajua mambo, tazama mikutano ya Lisu haina promo kwenye hivyo vyombo vya kizee, lakini nyomi kama lote. Ccm iendelee kujivunia wenye uhaba wa habari halisi, bali itegemee kizazi kichovu kinachosubiri habari za kutengenezewa.