Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.

Hakuna mtu mwenye smartphone asiyejua facebook au twitter. Mimi mama yangu ni mzee yuko Itigi huko Singida anajua WhatsApp, Facebook nk, itakuwa watu wa huku mijini? Ccm ni chama outdated ndio maana bado karne hii ya 21 kinatumia njia za karne iliyopita. Ukitaka kujua kizazi kimebadilika na kinajua mambo, tazama mikutano ya Lisu haina promo kwenye hivyo vyombo vya kizee, lakini nyomi kama lote. Ccm iendelee kujivunia wenye uhaba wa habari halisi, bali itegemee kizazi kichovu kinachosubiri habari za kutengenezewa.
 
Huyo mama yako inaonekana alikuwa
anapenda disco sana,

Hapa nilipo nina marafiki wa chadema wengi lakini utamkuta hajui leo tundu lisu kasema nini bali mpaka aende kwenye vijiwe vyao apate taarifa, na akitoka huko anakuja kusimulia hata kama mtoa taarifa alikosea nae anakosea pia.
Kwa hiyo usifikiri wati wote wnpendelea kuingia huko.
Kuna watu mpaka waone taarifa ya habali na huwa hawakosi mida ya taarifa hizo kwenye TV au radio.
Na wengi waobutakuta amejiunga na ki group cha Chadema nado anaigia tu.
 
Watu wa media ni wajinga Kama walimu huu ndio msimu wa kumkazia mtesi wenu hamfanyi hivyo siku akishamaliza kuwatumia Kama pedi ndio mnamkumbuka Lissu awasemee.

Mmefungiwa magazeti
Mmetungiwa sheria tata
Wenzenu wametekwa
Wamefunguliwa kesi za kionezi nk

Haya yote hamyaoni msimu huu ngoja umuhimu wa pedi kuzuia damu uishe mnamkumbuka Lissu.
 
Huyo mama yako inaonekana alikuwa
anapenda disco sana,

Hapa nilipo nina marafiki wa chadema wengi lakini utamkuta hajui leo tundu lisu kasema nini bali mpaka aende kwenye vijiwe vyao apate taarifa, na akitoka huko anakuja kusimulia hata kama mtoa taarifa alikosea nae anakosea pia.
Kwa hiyo usifikiri wati wote wnpendelea kuingia huko.
Kuna watu mpaka waone taarifa ya habali na huwa hawakosi mida ya taarifa hizo kwenye TV au radio.
Na wengi waobutakuta amejiunga na ki group cha Chadema nado anaigia tu.

Habari sio lazima uisikie ww binafsi, bali utasikia kwa wengine kisha utahamasika. Kama cdm pamoja na kubanwa bado inapata watu wengi hivi, huwezi kuona kwamba kizazi kimebadilika? Ni nani mwenye smartphone atanunua gazeti la elfu, aache kuweka bundle la buku na kutazama habari azitakazo, abaki analishwa habari za kumtukuza jiwe? Kizazi cha ccm kimeshapita, saa hii imebaki kushurutisha kutawala.
 
Pale wapambanaji wa nyuma ya keyboard wanapowataka wenzao waliyo kwenye maisha halisi kupambana bila uoga kwenye hayo maisha halisi.
 
Huyu jamaa alikuwa "potential" saana siku za nyuma kabla nae kuwekwa "mfukoni" kama walivo wahariri wengi hasa kipindi hiki. Wadau ngulii wa habari tunajiuliza alikuwa wapi siku zoote wakati viongozi wenye mamlaka wanatoa kauli za kupiga Mashangazi,au kuwatisha waandishi wa habari kwa kauli za "watch it" sijui ni sahihi au "watch out". Kwanini atokee leo baada ya kuona wahariri wa vyombo vya habari wameshikwa pabaya? aache "uzwazwa" vinginevyo atawaponza wamiliki wa vyombo hivyo kwani mpaka sasa "trend" ya mauzo ya magazeti yanashuka kwa kasi kwa sababu ya vyombo hivyo vya habari kurubuniwa na wenye mamlaka. Mfano mdogo tu jana Mgombea Urais wa Chadema kafanya "Press" lakini zilikuwepo "Mike" kama tano au sita tu na nina uhakika hata yeye Balilel hakuwepo. Na leo kwenye "font fed" za magazeti yao woote hawajaandika hiyo habari. Apeleke kule njaa zake.. Wakazi wa Arusha tunasemaga kwendraaaaaaaaaaaaaaaa ukooo wewe kibaraka
 
Mpaka sasa vyombo vya habari vimeshachemka! Vimeshajionyesha waziwazi kuwa vina upande vinakoshabikia tena hizi luninga kama Azam Tv mkiendelea na huu ushabiki mtaacha tuache kabisa kutazama chanel za kingamuzi chenu kama ambavyo tulishaacha kutazama TBC na Chanel Ten!

Mifano ipo mingi ila nitoe tu mfano wa taarifa ya Habari ya jana jumapili Tarehe 23.08.2020, Wakati natazama chanel namba UT-108, Kuna taarifa ilisema "Watanzania watakiwa Kuchagua viongozi wenye Hofu ya Mungu na wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa "...Wakati habari hiyo ikisomwa picha ya video ilikuwa ikimuonyesha Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Dodoma, akimbariki Mgombea urais wa CCM! Ile ni kampeni ya waziwazi na picha ile na maelezo yalitengenezwa na wahariri!

Baada ya kuona hali hiyo nisiyokubaliana nayo nilibadili chanel nikafungua ITV ambayo pia ilirusha tukio hilo ambalo angalau wao walibalance mizania kwa kuandika "Rais Maguli azindua Kanisa na Nyumba ya mapadre"!

Tukio lilikuwa ni uzinduzi wa Kanisa na nyumba lakini likatumika vibaya kushawishi watu kuwaona wagombea wa upinzani ni watu wasio na hofu ya Mungu wala kutanguliza maslahi ya taifa Mbele ila CCM tu! Jamani maaskofu jitengeni na upendeleo wa kisiasa ninyi ni wachungaji wa kondoo wote, vinginevyo mtaacha tuyapuuza hata mafundisho yenu!
 
Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
Naona kama umesahau kuwa hata Social media sites na online/or YouTube TVs nazo siku hizi zinatambulika kama taasis za habari na zinatakiwa kusajiliwa pia. Unless utumie Twitter na Facebook or Telegram.

Swali je ni wananch wangapi vijijini wanatumia hizo applications ukilinganisha na wale wanaosikiliza redio na TV?
 
Hata wakivianzisha vitafungiwa na au kufutiwa leseni! Yako wapi magazeti ya Mawiwo, MwanaHalisi, Tanzania Daima!? Inchi hii imejaa figisu za hovyo sana, CCM wapo nyuma ya mpango huu wala tusimung'unye maneno!
 
Hii tasnia hawana mshikamano kabisa!! subiri kapeni zianze waanze kupigwa mitama na kuvunjiwa makamera yao...!!

Kwa sasa smartphone zetu ndiyo vyanzo vya habari kwa 70%. waache wakae na magazeti yao na TV zao.
 
Uzuri kwa sasa wapinzani wanatumia mitandao na kuingia field. Huyo Balile ajue watu wa kizazi hiki hawababaiki na magazeti na TV zenye story za kizee.
kaka hata ma dingi utakuta anakwambia na mimi naomba uniwekee Utube kwenye simu yangu.... ha haha
 
Naona kama umesahau kuwa hata Social media sites na online/or YouTube TVs nazo siku hizi zinatambulika kama taasis za habari na zinatakiwa kusajiliwa pia. Unless utumie Twitter na Facebook or Telegram.

Swali je ni wananch wangapi vijijini wanatumia hizo applications ukilinganisha na wale wanaosikiliza redio na TV?

Ngoja nikusaidie boss, kwa sasa taarifa zinafika kwa kila njia. Kama watu waliweza kupata ujumbe enzi za Nyerere ndio itakuwa zama hizi? Kumbuka hiki ni kizazi kingine kabisa ambacho hakina ladha yoyote na ccm. Na ukitaka kujua kwamba hiki ni kizazi kingine, nenda huko vijijini hata vijana wa huko wanavalia suruali chini ya makalio na mabinti sketi fupi. Na hao vijana hawana muda wa kusoma magazeti maana hayapo, wala kuangalia tv sehemu za habari, bali husikiliza miziki ya kizazi chao, na kuangalia episodes. Ila kitu kimoja hufanana ni mahitaji ya nyakati, na kwa bahati mbaya kwao ccm ni chama cha wazee, yaani wazazi wao. Hali hii ndio inayopelekea ccm kutumia mabavu kubaki madarakani. Fuatilia hata idadi ya wapiga kura 29m+ ni ya kupika, na lengo ni kuipa ccm ushindi wa ghiliba.
 
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
Sasa watu hao unafikiri Wana muda wa kusoma vijarida vya propaganda za sisiemu?
 
kaka hata ma dingi utakuta anakwambia na mimi naomba uniwekee Utube kwenye simu yangu.... ha haha

Ahaaaa ahaaaa, umenikumbusha kuna mzee mmoja alisema amenunua simu ili apate WhatsApp na Facebook. Yeye hajui chochote anataka hizo icon zikae hapo juu kazi yake ni kufungua tu. Iko siku simu yake mjukuu wake akaichezea ikazingua, ikabidi anitafute niiweke vizuri, kwani anakumbuka chochote sasa kuhusu credentials? ilikuwa shughuli kwenye kuirestore. Sasa huyo Balile kwa akili yake anadhani mtu atanunua hizo gazeti lake la jamuhuri, aache kuweka bundle aangalie habari azitakazo asubiri story za kubumba?
 
Msigwa anao uhuru wa kusema wananchi wavisuse vyombo vya habari kama vile vyombo vya habar vilivyo na uhuru wa kususa taarifa za upinzan
 
Balile kashanunuliwa kwasasa hamna kitu kweli NJAA MBAYA.
Unalazimishaje watu kutoa taarifa zako na unasema vyombo vya habari vinatakiwa viwe huru,uhuru wa habari ndio huo MTU alipoti kile kinachompa maslai kwasababu vyombo vyote vya habari duniani vinamaslai binafsi hivyo kama hana maslai nahabari yako kunaulazima wa kuripoti mbona hiyo online yenu kutokea marekani hairipoti uchaguzi wa ccm.
 
Back
Top Bottom